ata nimetoka kupiga kelele kama chiz😂 😂kumbe niko swaa
2026-08-23 06:54:10
185
liz800l :
😂😂😂kumbe hizo kelele zangu kumbe ni Raha
2026-08-23 06:00:42
45
Thrift By zamzam in kiembeni :
tuekee kudownload plz
2026-08-23 10:06:53
0
cute🦋reen❣️🫶 :
me kuongea swezi aiseee
2026-08-23 06:44:58
21
justineanyango254 :
what they said about me," kuishi Na mtu amenyamaza Ni ngumu Sana" they were right 😂 they used even kunisengenya Na lugha ingine not knowing that I understand the language very well...let me tell you Maina siku nilitoka hawakuamini
2026-08-23 11:56:52
0
Debs Chebby :
proud to be a chiriku😂😂😂
2026-08-23 08:33:47
0
Zuuh💕 :
ila mim naongeaga mpaka maneno ya kuongea yananiishia 😅😂
Na sie tulokua kama chiriku tukikaa kimya tunaogopesha zaidi😂😁
2026-08-23 09:03:04
14
queen fatmah005 :
Mbona niwe sawa cjachoma nyumba cjaua mtu pia subra n kila kitu wengine tumejaliwa hikma bwana.naweka nikipeleka kwa mungu tuh
2026-08-23 07:54:27
10
💕💞 :
Waongeaji tupo wng ndo nilichogundua comment sections Ila acha tuongeee tu Hawa watu hapana😁😁😁😁😁
2026-08-23 07:12:24
6
Ma Mkwe💕💕 :
Mi wangu leo kaniambia nishazoea kelele zako na sikuachi Ng’ooo
2026-08-23 07:27:40
9
Merry@bbyni :
🥰😂 ndo me naongea mpka naambiwa napenda kuongea san
2026-08-23 07:16:07
6
Fenny wanje :
Wanawake makelele kama mm hoyeee
2026-08-23 08:00:56
3
koko💮🥹❤️ :
mume wangu Huwa namsumbua Leo naongea vizuri kesho nimenuna namwaambia tuachane anasema mpaka hivi ameshindwa kunielewa Huwa mpaka ananiambia au wewe una majini?😂😂😂😂
2026-08-23 08:50:45
0
To see more videos from user @leonard.masini, please go to the Tikwm
homepage.