@afroeast.media: 🔥🐄 @Kirikou Akili AMEINGIA STAGE NA NG’OMBE! 😱🔥 Hii entrance ya Gitega si ya kawaida! 😂🔥 Kirikou Akili amewashangaza mashabiki kwa kuingia kwenye stage akiwa na ng’ombe! 🐄🔥 Gitega, leo tumeshuhudia kitu cha tofauti! 🇧🇮🔥 #KirikouAkili #Gitega #Burundi #AfroeastMedia #LiveShow