@gaditv: Raia wa Romania aitwae Constantin Catalin Podoleanu (39), mwenye makazi yake eneo la Njiro mkoani Arusha, amekamatwa na vyombo vya usalama, ikidaiwa ni baada ya kukutwa na kadi bandia za bank, zinazohusishwa kuiba fedha za watu. Katika taarifa ambayo imetolewa na Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha, Agasti 22, 2026, imesema kuwa raia huyo alikamatwa Agasti 20, 2026 katika eneo la Njiro mkoani humo. 👉Ukiwa na tukio la kihabari unaweza kuwasiliana nasi kwa namba hizi... 0743 888 555. (Call/WhatsApp).
GADI TV
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 03:28:44 GMT
Music
Download
Comments
Jaafar Manhekman :
Just a programming
2026-08-23 11:11:25
0
Luna💖 :
thats carding
2026-08-23 07:49:21
0
perry :
huyo mchukueni awafundishe watu mambo za IT halafu mumuache aende kwao he is smart
2026-08-23 05:37:01
152
nurath :
me love him 😁😁😁😁😁mnipe hyo cm yake kwanza
2026-08-23 07:11:34
0
Lone Wolf :
new idea unlocked 😐
2026-08-23 10:03:39
0
risk taker 🇨🇦 :
hii taarifa Bora msingetoa kwa umma kwa sababu imetupa wasiwasi kutumia bank from now Bora niweke hela zangu kwenye kibubu🙌
2026-08-23 06:32:23
31
Don :
milioni mbili miamoja sabini na mbili na mia tano!!!?
2026-08-23 05:41:42
32
Tiger🐯🐯🐯 :
hahahhahah hiyo milioni 100 alilipia office gan? mmmh Hii report hii
2026-08-23 06:08:17
0
DogoJ :
IT ya Nguvu duuuuuu
2026-08-23 07:18:51
0
+Child of God+ :
mtu wa maana huyu
2026-08-23 06:03:42
26
Sylz :
Au nirudi shule nkasime IT
2026-08-23 05:10:35
10
Tee :
Tukitazama positively angetumika kuboresha mifumo yetu ya fedha.
2026-08-23 06:25:26
9
Bydat_collection🇲🇾🇹🇿 :
Upatu shida bank shida 😂😂 nashindwa kuelewa wapi niweke Ela zng 🙌😂
2026-08-23 05:56:47
15
user8651832656004 :
tusaidieni elimu kidogo juu ya hilo unawezaje kutoa pesa na kadi feki? au tuache kuweka fedha zetu bank?
2026-08-23 05:51:39
8
@lizybby :
Kesi ya kiume🤌🏾
2026-08-23 06:40:55
3
yussuf omar :
Kama unatumia atm kuna sehem kwenye app ukiingia imandikwa card management ukishamaliza kufanya malipo kwa cards nenda ca diactive card so hakuna mtu ataweza chukuwa pesa yako , ukitaka kutumia tena una active unatoa pesa kisha una reactive tena
2026-08-23 06:49:20
7
PABLO ESCOBER DE himself 🚭 :
naomba niwe mwanafunz wake anifundishe hii🙏🙏🙏
2026-08-23 05:26:49
7
Rama home electronic :
sasa kad ni fek au Atm zenu ndo feki tueleweshen vzuri bhana kadi feki inatoa vp hela ???
2026-08-23 07:53:56
0
user6361774298115 :
kazi nzuri.......👏
2026-08-23 06:53:01
2
Double tee :
Daah hizo cad zinapatikan wap
2026-08-23 06:16:39
4
Empress👑Aira🌬 :
Hiki kipaji kilindwe🙌
2026-08-23 06:35:24
3
gloireupite :
Angewaibia vyongozi wa serikali wa nchi mbali mbali😂😂😂😂
2026-08-23 06:41:58
2
mamandegeoutfit123 :
🥰🥰dah naombeni acc yake hata ya insta
2026-08-23 06:24:11
2
magigejunior0 :
fedha zangu za tonetone zitakua salama kwel
2026-08-23 06:55:48
2
To see more videos from user @gaditv, please go to the Tikwm
homepage.