@oprah433:

Oprah Brand Official
Oprah Brand Official
Open In TikTok:
Region: OM
Sunday 23 August 2026 04:58:52 GMT
41620
1022
133
289

Music

Download

Comments

saaqbu
@hadija'ss :
Asira nilichamba mamkwe family nzima imenichukia nasijariii
2026-08-24 09:40:27
1
yazminemtima05
🫶🌹❤️ Yaz💞💕😱😂🥹😍 :
Hahaaaaaaaaaaa
2026-08-23 17:50:06
0
devotawille
DEVOTA WILLE :
hahahah mm hadi wateja nawaambiaga siuziii shida🤣🤣🤣 aibu wataona wao🤣
2026-08-23 17:02:19
10
mamyshaa2
Mamy Shaa🤨 :
Nimeipenda 🥂🤣🤣
2026-08-24 07:52:15
1
happy.macha
Happy Macha :
mmmmmmh!
2026-08-23 16:34:56
0
jackytrampo
@Jacky —Tanzania 🇹🇿🇹🇿 :
Kabisa tena mmh kesho aibu naona mimi nikikumbuka nilicho kisema 😂😂😅🙌
2026-08-23 15:32:29
8
mpemba.only
miss silent 🙊💭 :
😂😂😂😂Haleluya
2026-08-23 14:14:16
3
vanessapie4
Durzula😋🥰 :
nimecheka kwa sauti jaman😂😂😂 uyo ni Mim kabisa
2026-08-23 17:20:59
3
mss.g94
🦋🦋m!ss G🦋🦋 :
😂😂😂😂ndoa hun bint
2026-08-23 18:23:16
1
ma.rahma645
ma rahma🌹🦋 :
😁😁😂 unapenda kujiamulia mambo ww ayaah
2026-08-23 14:42:14
2
luu_nin0
💦 :
mi nilimsema mama angu dah ila ilikua hasira alinikera kaninunia had leo ah bhn ananijua nikikasilika sishikiki ananikwaza nikakemea pepo🤣
2026-08-23 19:39:37
2
mama.g5730
🦋jay minah G🦋 :
😂😂😂ila mama mkwe
2026-08-23 13:09:27
1
anny.louella
Anny louella 🌹🙏 :
mimi nimetoka kumunyamanzisha boss wangu na sijui kama kibaruwa kesho kitaendelea au kazi ndio basi
2026-08-23 18:26:25
4
hussein9th3
✨Fatma ✨ :
nisipo kaasawa mamkwe atanipanda kichwani 🥺🥺🥺
2026-08-24 04:21:14
0
said_mehbou
mehbou🇹🇿 :
labda sio mama SAID
2026-08-23 13:00:01
1
hailu4370
Hailu :
fungua bwana tuweke statuz🤣
2026-08-23 15:47:38
1
ester.peter462
Ester Peter :
mimi nlimaliza naye kila kitu najua ananikumbuka hadi leo, mama mkwe wa kibena aliikoma maana nlikua natafta sehem ya kumaliza uchungu wangu
2026-08-23 17:37:38
0
auntb244
Madam b :
Acha tu Raha sana lakini sijui kama kazi Bado ninayo au Sina nilichojibu mniombee tu😭🤣
2026-08-23 19:03:58
1
fettytz156
Fetty tz ❤️💍🔐✅ :
😂😂😂🙌
2026-08-23 19:57:05
0
To see more videos from user @oprah433, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About