@godfreythomasayotv: Mama amdaka dada wa kazi Arusha akifanya uchwawi ndani,asababisha mtoto kufariki,akiri nakudai alijibadilisha akawa paka.

godfreythomas07
godfreythomas07
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 05:43:54 GMT
49854
1757
115
628

Music

Download

Comments

tatu.bravo
Mrs. Sein❤️ :
Daaah pole dada inauma san😭😭😭
2026-09-09 06:00:40
0
aminamdoe955
Amina Mdoe :
jamani tusali jmn tusalii
2026-08-23 08:07:38
33
gloryfrank303
G4real :
Poleee…. Mtu ukihisi mbaya usimuulize fukuza
2026-08-23 07:43:15
26
nai152
Nai🌹 :
shindwa kwa jina la yesu🥹😭
2026-08-23 09:27:01
27
bintikimu
KIMUstore🇹🇿2026 :
si umfukuze unabaki nae wann
2026-08-23 09:55:56
5
ibnatswaleeh
Ibnat Swaleeh :
asilaumiwe jamani hua wanaloga huwezi kumfukuza
2026-08-23 09:57:22
8
mayasapic2
mayasapic2 :
Sasa Kwanini na yy hajafukuza
2026-08-23 11:40:49
3
esthermushi12
ma G :
Mwenyezi Mungu naomba uwalinde watoto wote duniani kote,kama neno lako linavyosema mchawi hata ishi,naomba wachawi wote wafe kwa jina la Yesu Amen
2026-08-23 10:30:31
20
salher70
Salher🌺 :
Sitak dada wa kazi uwwwiii😭😭🙌
2026-08-23 15:41:21
2
miss.lee9385
Miss lee :
Afu ni proud to be kabisaa uyo mfanyakazii
2026-09-02 08:55:16
0
sasha.ryan018
SASHA RYAN :
mimi nimefunga biashara nimlee mwanangu nina mazito km kuna sehemu ya voice note nielekezeni
2026-08-23 18:44:30
2
neema123olomi
❤️Neylee🔐 :
kwahali hii hatutapata mdada wa kazi watakuwa wanaogopa kuja arushaa sasa jamn tutafanyaje ndo maan natafuta mdada na sipati
2026-08-24 07:19:31
0
amina.abdallah844
Amina Abdallah :
Amrudishe mtoto ndio aondoke
2026-08-24 09:12:27
3
judithburetha
Judith Buretha :
duhu Mungu tusaidie kwa kweli mm nawaogopa Sana wasichana tunaletewa Yan kikubwa tujue kuomba aswaa Yan maombi ndio kila kitu kwa kweli
2026-08-23 15:13:06
0
alessymauna
maya💗💗 :
ila arusha nashindwa kuwaerewa
2026-09-04 19:43:38
1
fettysinga
fettysinga :
Mungu atujaalie watu wema wanokuja kwenye maisha yetu
2026-08-23 07:26:33
6
mamaafricadesigner
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
😳😳Eeh Mungu nipe neema ya kuona kabla hajaingia kwangu nisije uwa mtu nikaenda jela
2026-08-23 12:52:20
4
tourguider01
kayuki girls :
ni arusha tena jmn 🥺😭😭
2026-08-23 23:37:29
1
anithalinus95
Anitha linusi :
Damu ya Yesu,
2026-08-23 11:29:49
2
pendoprety8
Pendo-prety😘 :
tujue kuomba jamani
2026-08-23 10:23:53
4
magreth.juma81
magrethjuma71 :
Ee Mungu walinde watoto wangu na dada wa kazi
2026-08-23 09:28:14
3
bellarina102
Bellaz Kitchen :
Jamani tufanye maombi, ukihisi kitu kibaya usipuuzie kabisa. Shetani sio wa mchezo mchezo.
2026-08-24 15:54:02
1
rithahussen3
Mom Ivan&Josline🥰❤️ :
atakaa amuamin bint wa kaz kwelii😭😭
2026-08-24 12:51:52
1
shery42698
sherry💞💕 :
mnatuharibia jmn kuna wengine tunaamin kazi ni kaz japo dada wa ndan anadharaulika sana, achen kuloga watt wa mabos jmn mnatuharibia jmn aaah
2026-08-24 00:57:17
1
quetnana
quet naah ❤️❤️🦋🦋🦋 :
me kwangu nataka me na wngu ty na mume wngu stakii mtu mwingine kwanguu zaidi ya nduguu
2026-09-01 07:06:35
0
To see more videos from user @godfreythomasayotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About