iyo dawa Moja ni kivumbasi au mtule huku Zanzibar Kuna kivumbasi na mtule hebu weka wazi ni Majani gani hayo
2026-08-25 09:11:01
1
Ummu Hudhaifa Shetui :
yaan kaka mimi niko na mtoto ana mwaka unaenda wapili anasubuliwa na kwikwi kuazia siku nilioo mzaa mpaka leo nimehangaika dawa sn acha nijalibu nahiii insha Allah
2026-08-23 12:49:36
1
Sifa Makyambe :
😁😁😁
2026-08-23 06:48:37
0
To see more videos from user @bikombe_nature, please go to the Tikwm
homepage.