@mwenye.nchi: Kuna kitu cha pekee alichonacho Lissu, nadhani Mungu alimjalia, na anakitendea haki. Kwa kweli, ninatumaini ataishi kuiona Tanganyika au Tanzania ambayo amepigania kwa dhati.

MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: ZA
Sunday 23 August 2026 06:36:36 GMT
33077
1711
33
82

Music

Download

Comments

hadson.fanuel
Hadson Fanuel :
Duuuu ila upeo wa lisu mkubwa sanaaaa
2026-08-23 07:20:22
45
tumaa_rabbo
Tumaa :
hurts a lot asee💔
2026-08-23 08:09:07
0
user467817261572
user467817261572 :
lisu ndiyo mpinzan wa kweli
2026-08-23 07:31:02
13
elnettechnologies
ELNETISPBILLING :
"NO REGRETS" DEATH IS SURE ODDS.
2026-08-23 08:30:14
0
brigton.mollel
Brigton Mollel :
lisu nikusudi la mungu
2026-08-23 06:51:24
45
gellar_
Gellar :
TAL, great guy🙂🙏🏾🫡
2026-08-23 07:31:58
0
brightsonogada
brightson@diplomat. :
kaskazini tunashida gani aisee ikija swala la hela
2026-08-23 07:50:21
9
user7921682799031
Christopher :
aliona mbali sana lisu
2026-08-23 07:08:18
19
renatusibuberwa
renatusi Buberwa :
kwakweli nakupenda lissu MUNGU akulide
2026-08-23 07:14:13
14
user37966917661340
user37966917661340 :
lissu nimkono wa mungu hapa tanzania 🇹🇿 tumpende sana aise
2026-08-23 07:16:43
12
nasonmtanzania
Nason_the_NBF :
sisi ambao tunafatilia kwenye mitandao ya kijamii, hatujawahi kutana nao wala hawatujui sisi ni watu wakawaida kabisa TUNAONA WANAMUONEA SANA LISSU KUMUWEKA GEREZANI kwasababu hatuoni kosa lake na wala hawajatuonesha makosa yake wala hawajayaanika hadharani makosa yake....... Kama hatuoni na hawawezi kutuonesha kwa ushahidi basi ni kumkosea wanamkosea sana😓 tunafikiria kwamba LISSU anawazidi upeo wa akili ndomana mnapambana kumzuia au kumpoteza kabisa.... kwanini msichukue mawazo yake mazuri ilikubadilisha muelekeo wa Tanzania? au mwenye akili hapaswi kuonekana akitoa mtazamo wake??? mnataka tuamini ni bora kuongozwa na standard 7au 4m4
2026-08-23 08:01:09
3
1213mvula
1213mvula :
mandera
2026-08-23 08:27:48
1
drsid945
DrSid94 :
Tangia hapa kaul za Mbowe zilianza kujianika waz kuwa alikuwa team serikali mpya over teamMarehem 😀 Mbowe alitumika kumchafua Marehem , Marehem alipotangulia kwake akapunguf upinzan Yupo boss nje ya huyu rais wa sasa ambae anawaendesha wote
2026-08-23 07:20:51
5
www.tiktoke.comhadram1
hadram :
tal
2026-08-23 07:22:19
2
rassy.nguzo
Rassy nguzo :
Kwel mm nilikuwa namuusuduu Mbowe mno lkn now days ndo nagundua kwa nn ht mweshimiwa LEMA alikuwa kinyume na mwenyekit wakee
2026-08-23 07:42:48
2
chikonkolo0
Chikonkolo :
Middle man kazini
2026-08-23 08:13:30
0
lino.perfume
Lino Perfume :
2026-08-23 07:28:47
0
cz_medi.com
Muumini Safi :
huyu Lisu daaaa
2026-08-23 08:32:07
0
magaridastonetz
Magari_Dastonetz :
TAL 🔥🔥🔥
2026-08-23 06:51:01
8
bonymbilinyi
bonymbilinyi :
daaah yule jamaa msaliti Sana .. daah mwenyezi Mungu amlinde lissu
2026-08-23 07:52:34
0
pclassicone
P*CLASSIC ONE :
tuliyajuwa hayo mbona ndio mana roma kaimba alituchelewasha ukombozi
2026-08-23 07:49:59
0
happyimagination_21
Happy :
yaani kinacho endelea sasa Tanzania ni sawa na kutizama tamthiliya ya kulfi. yaani adui anakera na wala hadhibitiwi. nafsi inakuuma mpaka unaichukia tamthiliya
2026-08-23 08:02:34
0
mshumbusi
Chris :
TAL
2026-08-23 07:58:52
0
thoby_nemes
Thoby Nemess :
Dah Meko ni kibaraka mbaya sana
2026-08-23 08:29:59
0
user5217823546239
Thom :
Basi tu
2026-08-23 08:23:23
0
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About