@abuusafana: Mimi na masufi tu sikilizeni visomo hivi alafu jilinganisheni! na nyinyi vijana wenu wanasoma quran hivi? au mnawapotezea muda tu maana sheikh warid siku moja nilimsikia anasema kuhudhuria kwenye maulid ni bora kuliko kuhudhuria darasa subhaanallah! Allah akuongozeni katika njia ya sawa.