@abdulhafidh575: 😇

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 07:04:30 GMT
130355
7605
176
647

Music

Download

Comments

moanaeid
Moana idd :
Mimi huumwa na kichwa hadi natapika ndo nafanya afueni lakin Allah atanifanyia wepesi inshaAllah.
2026-08-23 13:58:49
31
minnamasoud
minnamasoud :
nidawa gan tutumie
2026-08-23 09:22:00
16
madungu83
Madungu :
Kwa hio maalim quran imekua sio shifaa tena maana haya maneno sijaelewa mm
2026-08-23 13:55:48
12
zeinab123x
. :
jmn msalien mtume muhammadS.A.W na mfanye istighfar na msome adhkar za asubui n ajion
2026-08-23 16:45:46
56
marwahuda04
Marwa&Hudalil mtaqin👑📿 :
Mwenye kutowa uhai wa mtu nii Mungu mwenyewe.
2026-08-23 13:23:57
17
rinash336
RiRiNash32 :
Naje ukiskiza ruqia kwa simu kama unajiskia hivi pia nikosa?
2026-08-23 15:12:57
3
mj240131
mj :
nikweli mm ndani ya miaka 17 nimetupa pesa mpaka Sasa Allah akanipa njia Alihamdhulillah
2026-08-28 14:37:11
2
bakarhaji127
ismail bakar :
sheh nikitaka tuongee nakupataje
2026-08-23 08:33:21
4
jokha744
jokha :
sheh ukowap
2026-08-23 09:12:49
5
frj500
F@r@J! :
Allah Akuzidishie Sheikh, Umenyooka Muwazi🙏
2026-08-23 15:15:20
8
yancacutebackup_account
Cute Aquarius :
Barikiwa sana
2026-08-23 07:51:00
4
mrsheby2
şhébý bøę :
shekh hapo ujaongopa maana mim natembelewa na vitu mwilini mwaka wa 7 huu kila nikienda kwenye visomo sipon af mwili umefungwa nachukiw na watu bila ya sababu!
2026-08-26 16:02:12
2
ocean01563
Ocean01 :
ni kweli mimi nimepitia hiyo shida miaka kumi na moja
2026-08-27 18:04:50
1
zakatally
Zakat Ally :
upo sahihi shekhe wangu
2026-08-23 09:33:16
4
momzjsha5per
Momzjsha5per :
tuna kupataje shee wetu jaman me nataka kuja
2026-08-30 10:53:04
1
careen543
camilla USA🇺🇸 ♥️ :
bora dawa kweli
2026-08-23 09:40:40
5
ilyassalim91
Ilyas Salim :
this is true
2026-08-23 10:43:22
3
salma.salum151
Salma Salum :
kweliii nakubaliana na ww
2026-08-25 13:39:55
1
user774657626009
Bijuma Jaffar :
kweli kaabisa
2026-08-23 09:13:46
2
user3226553214241
awa phiri :
nidawa.gan.tutumie
2026-08-23 16:38:25
2
aminaamina29057
Amina Amina :
mashallah
2026-08-23 08:36:44
1
bakarhaji127
ismail bakar :
niko ivo ulivosema leo
2026-08-23 08:33:48
2
jida.jida76
Jida Jida :
naomba namba yako mm naumwa na kichwa sana
2026-08-23 09:30:26
3
user1495526849293
Feisal kamba :
nipe no yako Niko nashida licha ya hio
2026-09-07 11:52:07
0
mr.mketo
@MR MKETO :
mashaallah safi kabisa
2026-08-23 07:13:52
2
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About