very good point junior you're are youngest dreamers
2026-08-23 10:15:12
4
user5557735305480 :
nikwel kabxa dogo uko saw
2026-08-24 19:11:07
0
Justin bi :
wedogo unaakili san
2026-08-23 17:03:43
4
@? :
Msomi mwenzetu. God bless u
2026-08-24 05:32:18
3
SīDē👊🏾5 :
Dah we kijana ulikuwa wap kwan mbna unaongea point san 😳😳 dah hongela.
2026-08-24 12:11:17
4
Johanes Mutakyawa :
Safi sana dogo umesema ukweli mtupu.
2026-08-23 12:58:08
3
maja :
amken vijana
muoneni mtoto mwenzenu anachongea
2026-08-24 14:44:46
1
billnatus immanuel :
safi
2026-08-23 08:25:35
2
RAJABU MOHAMED :
Fact
2026-08-23 07:56:47
3
Mjuni Matibu :
dogo ww ni rais wa tanzania kwa miaka ya mbele
2026-08-23 09:02:32
3
Basindke Washima :
huouo ndo ukwel
2026-08-23 14:36:42
3
tzc.davilla,boy :
safii
2026-08-24 18:55:32
0
chars baba :
nikisema wapo wanakuja watatufuta machozi namaanisha wapo ni mda tu
2026-08-24 02:50:58
3
Imani Amoni :
huu ndio ukweli siku zote ukweli hujenga na kudumisha Amani Amani hujenga pia hauuwezi ukajenga ikiwa hakuna Amani umoja hutufanya tuwe na nguvu ubinafsi hututawanya hatuwezi kujenga nchi yetu tusipo kuwa na umoja na ushilikiano
2026-08-23 09:14:05
2
Yesu Mpuya kazimili :
dogo nimekukubali inatakiwa tuwekitu kimoja
2026-08-23 08:35:09
3
0079# :
na kuelewa mdogo wangu
2026-08-24 18:32:18
0
pendo :
safiii kijana
2026-08-24 15:12:36
1
maja :
bravo
Mungu akulinde
2026-08-24 14:44:20
1
joseph sarakikya :
mungu akulinde na wasio julikana
2026-08-24 19:30:15
0
Moddy Mdau :
nikweli upo sahihi kabisaa kweli dogo shida mafisadi ndio watawala
2026-08-24 18:53:22
0
Waboma :
aisee kijana mdogo akili kubwa safi sana dogo saluti salutiii kwako mungu akutunze
2026-08-24 17:15:50
1
Hamis Hamis :
ukweli
2026-08-24 12:18:24
1
maryam william :
Mungu2
2026-08-23 09:38:17
2
To see more videos from user @dotto.mwanarobert, please go to the Tikwm
homepage.