@mpembacomed1: NDOA YANGU 🤣🙏#creatorsearchinsights #fyp #Oman #tanzania #zanzibar @brayzon @Rashid Brown og @Ajumy Ajumiya @saada m omar

MpembaComedy1
MpembaComedy1
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 07:15:41 GMT
152018
10023
354
871

Music

Download

Comments

hemedymelody
Hemedy Melody :
tunaoangalia jumapili tujuane hapa
2026-08-23 07:20:35
188
nas_boy26
nas boy 26 :
tunao tumia WiFi kuangalia gonga like
2026-08-23 08:02:25
123
muhammadristi575
ABDUL BAXTI :
daaah pemba raha hlf utawakut wapemba wanaowa vichogo mambo hayo utapat wap
2026-08-23 09:13:43
20
ajsugift
ajsugift :
hamtaamini nimekua wa kwnza leo
2026-08-23 07:20:08
33
aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Hii ndoa kila sk ugomvi lkn bd ipo mashaallah ☺️🤣🤣
2026-08-23 07:35:19
32
khadijahnganyi277
Khadijah Nganyi :
Nimefurahi kuona mti wa karafuu kwa mara ya kwanza🇰🇪
2026-08-23 20:38:42
4
maxb4628
maxb :
nakukubali sana mpemba ww ndo Zanzibar one 100%
2026-08-23 07:40:58
20
the.archer173
THE ARCHER 🏹 :
mumebarikiwa kama munao huo mmea hapo kwako
2026-08-23 16:29:39
4
shulaiya3
𝑺𝒖𝒎𝒂𝒊𝒚𝒂🎀 :
Kumbe Mpemba huw unapenda kuyatafuta🤣
2026-08-24 06:53:05
5
rahma.hamoud8
Rahma Hamoud :
ni kwel kabisa mpemba umeongea sana leo
2026-08-23 07:48:41
10
willyall0
willyall0 :
Baba hio usema yote nikweli 💪💪
2026-08-23 08:00:56
5
disanto_29
DiSaNt0 🎮 :
tucheke pamoja basi 😂😂
2026-08-23 07:24:08
9
003namia
mamy namia🌹❤️😘 :
yaan ukiimba tu mie hoi😂😂😂
2026-08-23 07:29:53
10
shufaashaaban555
Shuu💖🌹 :
Nlitaka nlishangae wamalize kwa usalama hawa 😂😂😂😂🙌🏻
2026-08-23 10:56:27
6
omarsharifu3
aizaki :
umenikumbusha mbali kuchuma karafu
2026-08-23 07:37:22
5
suleimankhamis435
Al MADRASATUL TAWBAH :
unajua mpemba
2026-08-23 07:34:19
9
ar017k
ar_017 :
uyu mpemba anaimba uyuu
2026-08-23 08:09:18
6
rebecca06468
Reeh🥰🥰🤗 :
Sio wewe nazungumzia maisha ya zamani😂😂😂
2026-08-23 08:07:50
7
user2055695910315
tuku mwero kadzoyo :
hapa kuna fundisho fundishikeni kina dada
2026-08-24 04:22:48
3
brainpower.interi
BRAINPOWER INTERIORS :
mwache mpemba uje nikuoe
2026-08-24 14:07:36
0
pacha0628
pacha💝 :
Aloooo
2026-08-23 07:21:37
4
mwanaidi457gmail
Miss Mwana❤🥰 457@gmail. :
Ila siku hiziii heee mwendo wa maneno tuuu akija maneno mpaka akilala mpaka akitoka asubuh hana kukandwa wala kukandika😅
2026-08-24 05:03:16
2
p5qnwrixmv_ps.zzr3
sharifaissa731 :
tunao angalia juma tatu na wifi za bule
2026-08-24 13:16:51
3
kipyuda_wa_family
mounah love 💕 :
hamto amini hao watu wazamani ndio Mimi hapa nikiwepo 😂😂😂
2026-08-23 08:06:05
3
mwanahamisi.mwana
Mwanahamisi Mwanahamisi :
haya sitori imeharibika😂😂😂😂😂😂
2026-08-24 07:13:25
1
To see more videos from user @mpembacomed1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About