@_officialseba255:

Officialseba255
Officialseba255
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 07:17:53 GMT
24382
460
42
53

Music

Download

Comments

spitfiremusicprod
spitfiremusicprod :
harafu hii ni bongo kutakuwa kuna tatizo hapo kama hawakudhurumiwa nyumba sijuwi tu
2026-08-23 09:23:15
8
athanas48
athanas Captain :
Nimeona wana mpaka TV ninachojiuliza hapo darajani kuna switch ya ku connect umeme
2026-08-23 08:03:39
1
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Nilizani Ai😂😂
2026-08-23 09:25:29
2
eli.fred1
Elifred :
nishalala sana hapo juu
2026-08-23 10:42:34
1
mariamu6190
MARYAM :
iyo kesi ya serekari waje watupe majibu ya kueleweka 😂😂😂
2026-08-23 11:07:38
0
hajiussi845
CAMANDA :
na tv wanayo
2026-08-23 10:47:34
0
dior.justin1
Dior Justin :
Ai
2026-08-23 10:01:30
0
haidari.joneke
haidari joneke :
hao ndio waliojiamulia mambo sasa..
2026-08-23 09:35:56
0
salimu.juma37
💫🌟Salimu🌟⚡✨ :
serikali tunaomba walipishwe kodi😁
2026-08-23 08:27:23
0
yusuphmpenja
engineer :
city sentar
2026-08-23 09:12:49
0
gamalboy8
Gamalsaid👨‍💻 :
na sisi tupo kigorofani
2026-08-23 10:00:00
0
user2797839979613
BIN RASHID SPARE PART ZANZIBAR :
ukitaka kujua km wabongo wahuni nihapa dah🤣! bongo ni chuo kikuu Cha maisha🤣
2026-08-23 10:03:15
0
victornassary9gma
toxic boy💀💀 :
wanamiliki hadi TV 📺 😁😁😁
2026-08-23 09:40:17
0
ausonmkoba550
son :
h hatar sasa 🤣🤣🤣
2026-08-23 08:42:17
0
mbog97
@Eng.mbog97 :
Ai
2026-08-23 09:56:50
0
michael19920113
James michael :
Hao walipe kodi
2026-08-23 08:32:48
0
wababa417
Wababa :
sio Tanzania Kenya 🇰🇪 hapo
2026-08-23 11:12:11
0
rfca43
Rfca :
Mimi ndo dalali wa hapo vyumba Bado vipo napangisha ila uwe mshapu kujificha wakija
2026-08-23 10:05:08
0
maula.ma1
MAULA MA :
SUBIRI NIANGALIE KAMA NI TAZARA UHASIBU UBUNGO AU VETA NIANZE MIPANGO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 09:57:31
0
user9166239771618
user9166239771618 :
naona wapo golofani hapo Bado kuingia umeme tu
2026-08-23 09:23:50
0
rashid.juma108
RASHID JUMA :
mlango wa kuingilia sijauwon
2026-08-23 08:36:30
0
jacksonfanuel
Jack :
baba mwenye nyumba ni yupi au wote wanamuliki😂😂
2026-08-23 08:04:42
0
To see more videos from user @_officialseba255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About