@malaikawakuungokolo: Nabhoka nene naje kole sebha, nakafunye jisabo, nang’wine sebha, Mungu wa Shigongo.🙏 #mkatolikidaima #catholictiktok #sukumasongs #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 @Marystella Francis @kingmatonange @jacklinekazimoto @Venance(Vstar organist) @DESPINA MDENDE @lawrence kameja @lawrencekameja @Joseph Lyimo
MALAIKA WAKUU NGOKOLO (MGR)
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 07:25:15 GMT
Music
Download
Comments
user6652023368222 :
namuona mwalim wangu wa geography advance
2026-09-06 10:23:49
0
moloz _@23 :
nice Base ya kisukuma👍👍😃😃
2026-08-23 07:41:59
2
GRACE JOHN :
naomba kujiunga
2026-08-23 18:24:00
1
sayikitula160 :
wapi hyioo mubalikiwe
2026-08-23 16:40:08
0
chimama💋♥️jzee :
nimekumbuka mbali sana mbarikiwe wasukum wenzangu
2026-08-26 21:03:34
2
emmanuel andrew :
tumsifu yesu kristo?? kama hamtojali mwl wa hii kwaya nitafte inbox nahitaj hii copy ya hilizaga kwa hali na mali
2026-08-23 21:17:44
1
masingo :
inanikumbusha mbali sana 2008 , pre form one ( Sayusayu seminary Maswali -shinyanga) Fr shija, Fr John Kulwa aka bwana mdogo. mbarikiwe sana
2026-08-23 19:41:40
6
SJD :
Hongereni sana wanafamilia ya malaika wakuu kwa wimbo mzuri sana. by Sekwa
2026-08-23 19:48:08
1
Tony7 :
aiseeeeeee very amaizing song
2026-08-23 15:40:20
0
mwanza 💚 :
wapi hyiooo
2026-08-23 15:23:22
0
luduka jr07 :
nalikubali sana hilo song
2026-08-23 13:50:03
0
Dozzer Official :
nimeutafuta sana huu wimbo,tuliuimba sana pale Student Centre Tabora
2026-08-24 04:09:47
1
george yakobo :
👏👏👏👏 hongeren wimb mutamu sana
2026-08-23 16:18:13
0
vee@@ :
penda sana bezi maua yenu
2026-08-23 14:48:30
0
Maduka :
tumusfu yesu kristo
2026-08-23 18:49:12
0
Monika😃🥰 :
Amen sana
2026-08-23 12:16:15
0
Pensiana Kileo :
2026-08-23 11:02:26
0
Aloyce Mabeja :
mungu awabariki sana
2026-08-23 12:53:08
0
printie :
nmewamc jmn mungu azid kuibarik kwaya yangu
2026-08-23 07:59:54
0
🌟 stive #✨ :
naomba msaada jina la wimbo au copy yake
2026-08-25 10:11:14
0
Emmytz🇹🇿 :
Sauti ya 3 hongera sana 🤝
2026-08-23 13:51:06
3
Sara :
Wimbo wangu pendwa jamni
2026-08-23 13:17:52
3
Kidema Magesa :
tumuimbie bwana 🙏🙏 mmenikumbusha kwaya ya mt Benedict parokia ya bikra maria imakulata sengerema
2026-08-23 18:29:33
3
To see more videos from user @malaikawakuungokolo, please go to the Tikwm
homepage.