@smilebestoficall: #viralvideo

bad kizzy🍀
bad kizzy🍀
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 07:33:54 GMT
165255
8497
441
1001

Music

Download

Comments

mcharuko.wa.titok
Naah JR.32 :
tunao muon ajielew gong laik hapaa😂😂
2026-08-24 06:18:29
147
babygftycollection
baby gifty collection 1🩳👗👔 :
Ila kama kuna ukweli ndan yake vile 😁
2026-08-23 08:53:34
817
rukiyahassan145
Rukayaa Hassan :
mama zetu skuiz changamoto
2026-08-23 08:55:09
166
unbotheredvee7
VEEMONIE♓️ :
kweli kbs m niliongeaga nikaambiwa naachiwa radhi
2026-08-23 09:11:44
231
huzaymaamru3
dhahabu 💫♐ :
kweli kabisaaa kaongea Kwa hisia mama zetu mtihan
2026-08-23 08:45:52
219
mariamumolely34
🦋🥰 Afficial mamuu🥰🦋 :
Huyo ni mamaangu kweli Akipiga tu Sim ni hela hamna Ata salam
2026-08-23 09:31:13
132
fine.girl853
pee🌸🇹🇿 :
kaongea ukweli masikn jamn
2026-08-23 09:04:16
111
user7187847258482
it'dh meme official😘 :
ila mbosso katudanganya😂😂😂
2026-08-23 15:51:31
31
diana.msafiri.nje
Diana Msafiri Njeza :
elfu kumi kila siku mbona kubwa jmn mm mama yangu nikimpa hiyo elfu10 anashukulu balaaa
2026-08-23 10:43:24
65
mrsluchoog1
SAMAH💕 :
Mama yangu😭😭😭😭
2026-08-23 09:02:20
10
franklymwakitego
Frankly Mwakitego :
mama haombi pesa mama anaomba pumzi @mbosso njooo
2026-08-25 14:50:45
8
pcosmeticstabora
P COSMETICS TABORA :
Kwa jins alivyotulea kwa shida mimi na ndg zng ata aniombe kila saa siwez kulalamika km ninayo nitampa nitampa nitampaaa Mungu ampe maisha marefu mama yng super woman wng 🥰🥰🥰
2026-08-23 09:38:38
77
mwanaisha.ally01
aisha :
ila wazazi jaman sijui wanajuaga tunatoa ela wapi 🤣
2026-08-23 11:10:38
24
msfuraha.01
🦋❤️ms furaha❤️🦋 :
wamama hawajawah kutosheka jmn nna mama angu loooooh😂
2026-08-23 15:32:32
14
kitahappen1
💫𝕀𝕊ℍ𝕌𝕐🤫❤️ :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimechekaa ad nimelala chini
2026-08-23 08:10:07
27
hidersclassicwear
Hider's Classic Wear :
Nashukuru Mungu mama yangu usipompa hawez kukuomba na si kama tajiri nadhna n kuridhika tu na siku ukimtumia elf tano anakuombe dua siku nzima na akikuona hujampgia sim siku mbil anakuuliza uko saw au hauna hela nikupe uongezee kwny biashara nina kabalance kangu nilipewa kwenye chama huwa nimekatunza Allah amuweke Na kumpa umri mrefu na Afya Njema
2026-08-23 10:17:32
16
depgal4
depgal4 :
hv mnatoaga wap mama kama hao mbn Wang haombi n ukitum anakwambia usitume tume ela hovyo
2026-08-24 15:43:44
5
anifagombo657
nipher🎀🎀🕊 :
nikajua pekeangu😄😄
2026-08-23 09:19:53
18
misslulu300
lulukawago :
huyu mamangu kabisa mpka hel ya wembe anaomba
2026-08-23 10:23:22
11
zohaibbaloch918
mrs Hassan 👌👌❤️ :
Yani umenisaidia pakubwa mnoo
2026-08-23 09:03:37
12
lovely.girl76313
lovely girl♥️ :
Bora huyo anauwezo wa kumtumia mama yake elfu 10 kwa siku🥰 Kuna huyu mie 🙌🙌 Inshallah 🤲
2026-08-23 10:06:32
7
itsraika8
💥It's-raika 🥷💥 :
Free mama
2026-08-23 08:19:57
13
anniemushi
sweet annie lisahbella :
huyo nimama yangu pia
2026-08-23 10:12:01
5
To see more videos from user @smilebestoficall, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About