@smpmedia1: | BUILD YOUR SOCIAL NETWORK | 🤝💰 ______________________________ Kama kijana unayetafuta utajiri, usijenge maisha yako ukiwa peke yako. Jenga social network yenye thamani. Katika circle yako ya maisha, tafuta watu wanaokuzidi maarifa, watu wanaokupa fursa, watu wanaokufundisha, watu wanaokutia moyo na watu ambao mnaweza kujenga kitu pamoja. Usichague marafiki kwa sababu tu mnafurahia starehe pamoja. Jiulize: “Mtu huyu ananifanya niwe bora au ananirudisha nyuma?” Jenga mahusiano na wafanyabiashara, wataalamu, watu wenye uzoefu na vijana wenye ndoto kubwa. Kuwa mtu wa kutoa thamani pia usiingie kwenye mahusiano kwa ajili ya kutafuta tu. Utajiri haujengwi na pesa pekee. Unajengwa pia na watu unaowajua, watu wanaokujua na thamani mnayoweza kujenga pamoja. #BuildYourNetwork #SocialNetwork #Networking #MoneyMindset #WealthCreation

SMP MEDIA
SMP MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 08:29:44 GMT
10602
782
7
30

Music

Download

Comments

munixpic
munixpic brand :
Uo ni mtazamo wako boss…
2026-08-24 07:56:02
1
its_mkuu51
mkuu :
ok
2026-09-09 08:11:21
0
iek.institute
IEK INSTITUTE :
Punguza itifaki, tukutane site
2026-09-10 10:57:00
0
sadiq41673
Sadiq Msigwa :
kwel
2026-08-25 13:14:44
0
user963682263791
Zawadi01 :
kwel
2026-08-23 18:57:47
0
mcokboy037
Okello Bazil :
😄
2026-08-23 18:38:56
0
beni.jack1
benijack7 :
👍👍👍
2026-09-21 13:21:38
0
To see more videos from user @smpmedia1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About