@fandukhan01tz: Islam with fandukhan part3: Kumuamini Allah EP9:Mitihani gani tutapewa kwa kusema tumeamini ili tujaribiwe? JIBU: Tutapimwa kwa vile tunavyovihofia, Njaa,Kupoteza Mali, kupoteza ndugu, kupoteza mazao etc. Na je tufanye nini tukifikwa na hayo(na wala hatuyaombei Kwani mitihani ya Allah ni migumu kweli kweli) JIBU: Tukifikwa na hayo tuwe na subra na kumtegemea Allah kufanya hivyo ndio kuongoka na kufaulu biidhnillah. Na Allah anatufunza tuseme “inalilahi wa inna ilaihi rajiun” “Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea.” #test#iman#mitihaniyaallah #islam #tiktoktz

Learn..With..Fandukhan🌼
Learn..With..Fandukhan🌼
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 08:31:41 GMT
135
36
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @fandukhan01tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About