Coach tunaye na tunatamba naye 👌👌 what I want to say Young Afrika BINGWA 💚💛😏😏
2026-08-24 07:46:39
1
Mchela04 :
huyu sio muda atakua kocha wa Taifa starz😂
2026-08-23 11:19:22
29
theawaremind2025 :
Inasemekana sio majina ya wachezaji wa timu pinzani pia mpaka familia majina ya familia zao
2026-08-23 12:25:48
24
nafsai :
tulieni kila mmoja atachambuliwa kwa wakati wake
2026-08-23 10:21:48
54
shamiru manchester united :
yanga inacheza saa gapi
2026-08-24 11:35:11
1
GASPER KISINZA :
HII SIO TFF WAMKATAZE.
2026-08-23 10:14:24
12
Mathewtz🇹🇿 :
duuuh yanga another level huyu kocha hatari
2026-08-23 09:58:15
14
flora 🌿🪷🥀 :
aliwajuaje jamani ila huyu jamaa😅
2026-08-23 09:59:06
7
Benj@fficial :
yaan mm tangu nimeanza shabikia mpira miaka yote hio ata siwajuii yeye mwezi mmoja tu kashawajua wachezaji wote wa NBC duuuh
2026-08-23 10:53:34
14
kill man :
wanacheza lini
2026-08-23 10:36:09
5
phirrrr :
mmmh nilijua tu hatutoboiiiii😂😂
2026-08-23 17:02:28
6
Last bony ""Tz :
nimecheka kwa sauti mpaka nmejamba 🤣🤣🤣
2026-08-23 20:32:21
5
Manyanga Empire001. :
YANGA NI LIDUDE LIKUUUUUUBWA UNSTOPPABLE 🤣 🤣🤣
2026-08-23 10:36:06
20
MUMY -brother's (king's 👑) :
ivi jkt și walituvunjia pacome?
2026-08-23 12:00:45
3
user78547330978706 :
majna yatamsaidia nn sa
2026-08-23 10:58:40
1
𝒟𝑒𝑒𝑒 🎶 :
koch ukovzur saw sema sab zako zinatukataa stim yan kkos chayanga kna uwezo mkubwa sana kuliko tunachokionaa uwanjan
2026-08-23 11:02:29
1
Foung PH :
Haya anayofanya wajinga wamefanya! Kufanya vizuri kwa mwendelezo club bingwa ndivyo wengi hawajafanya...Yanga hata akipewa chini inachukuwa ubingwa wa ndani
2026-08-23 16:38:39
2
Detective_992 :
Alaf kuna mimi simjui hata mchezaji mmoja wa JKT😹😹
2026-08-23 12:31:17
4
user30010269296 :
Mwalimu wa mpira
2026-08-23 18:03:16
1
samsoni sanga :
uyu jamaa mh
2026-08-23 10:36:47
2
@Dr_Sahamo :
yaani huyu tayar anawaamrisha jkt wapange kikosi alichotaja
2026-08-23 11:26:59
1
Ziada Said :
mwambieni na kocha wa simba achambue wachezaji kama anawajua🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 12:36:43
2
Aden Joshua :
huyu kocha anaweza soma hata matatizo yangu😂
2026-08-23 11:21:02
2
To see more videos from user @careem204, please go to the Tikwm
homepage.