Me bhn mtanisameheee nq hivo motivation zenu mie pesa bhnnnn😂😂😂
2026-08-25 18:39:28
17
Morayo :
Moja kwa moja mpaka status
2026-08-25 08:37:09
12
Qeen. 👩 mom🤍 :
mhh😅😅😅
2026-08-23 13:42:44
5
Mavado santos :
Hata wakubwa wanazo izo fikra😁😁😁
2026-08-23 11:51:08
7
Aisherfaraj :
iyo sio Kwa wadada wadogo Tena hao wadada wakubwa ndo utasikia anakuambia sasa mdogo angu kama mtu Hana msaada wowote kwako ni wa nini
2026-08-24 18:25:58
9
bamtu😭 🇹🇿🤙💔 :
:Kweli kabisa na bado tunaitwa mbwa mungu atujalie 🙏🙏🙏
2026-08-27 04:38:03
7
sarsabilah delights 🥯🍕🧇 :
Actually
2026-08-25 08:40:53
4
mary :
bhna heeee kuvumilia mtu kazi jamn atafute huko me nimkute nazo at least hata efu 10 kwa siku kwake sio shida zake kigari cha 20M Kwake sio shda nyumba ya chumba kimoja kujenga tukae sio shida kwake me ndo namtaka huyo napambna nae tupate hela zaid tujenge nyumba ya vyumba vitatu ila asiekuwa nacho hela ya kiwanja 2M Hana me nitoeni 🥺🥺🥺🥺🥺nmeshindwa mnisamehee wanaume swez teseka muda mrefu tunakufa mapema mno
2026-08-26 07:27:49
2
halalbaddie22 :
Waambie na wanaume wadogo pia 😂😂
2026-08-27 20:46:58
3
Happyness Johanes :
kwel upande Wang pesa
2026-08-24 20:03:31
5
reymah :
tunaojitegemea wenyewe tujuane
2026-08-30 04:48:20
0
£sther ernest💞🌹 :
10/10 nalip chap
2026-08-25 23:47:52
1
Ashura Uzaliwa :
shida sasa hiv unalikut unavumilia hlf yey baadaye analet upuuzi
2026-08-26 13:40:35
1
Neylicious🐭💫 :
sipend mtu mwenye mali nampenda mtu nianze nae moja kunakuwa na heshima
2026-08-25 16:30:17
6
call me bright boy :
mama unaongea ukweli kabisaa 🫰
2026-08-29 18:48:51
1
zuuh :
hata wakubwa tu jaman pia umasikin ndo unatufany tukipew pesa tujue kama tunapendwa kumbe pengne hata sio hvo
2026-08-26 12:52:32
3
Mohamed_Al'abry :
hata wakubwa 🤣
2026-08-25 14:39:39
3
sarah Muherano zawadi :
Ananjiteteya kwasababu ni mkubwa lakini na wao piya
2026-08-26 19:00:40
2
Aunt muu :
hii ni kweli kabisa
2026-08-23 17:20:21
4
Alex J Mapunda :
true
2026-08-23 14:51:12
3
xolita queen :
hiyo ni wewe dada mm mnisamehe tuu sio mwanaume mwenye pesa tuu na awe mtoaji pia😁
2026-08-27 09:46:50
2
mery cyprian :
mimi.nipesa
2026-08-25 21:24:16
1
Bricella Anzuruni :
Kweli 🥰 Akuna kitu kizuri Kama pesa yako 🫰🏼
2026-08-25 18:29:09
3
Angel Pili Klmbo :
😂
2026-08-30 01:06:39
0
💓💝belta wa njombe✨✨ :
10/10
2026-08-28 06:34:29
0
To see more videos from user @life.talks64, please go to the Tikwm
homepage.