kweli nipo ofisini watumishi wanakufa bado hata miaka 50 hawajafika,
2026-08-23 10:26:57
1
N95 :
Viwanda
2026-08-23 11:34:36
2
Bint Aliy :
Doctor vipi kuhusu matumizi ya Dawa ya (Cetresine)
kuna wengine wana allergies lazima kwa siku ameze nazo zina shida ?
2026-08-23 16:20:42
0
Tito ntangale :
kweli
2026-08-23 16:48:46
0
sniper..23 :
uko sahihi.
2026-08-23 17:09:44
0
Ligas jr :
aiseeehhh
2026-08-23 12:04:20
1
nipher :
somo zuri sana
2026-08-23 11:46:04
0
REMMY :
Lifestyle aina ya ulaji na kutoushughulisha mwili ni mbaya jitahidi angalau kila siku upate at least nusu saa ya kufanya mazoez mfn, kutembea, kukimbia,kuruka kamba,baiskel,gym etc
2026-08-23 16:56:51
0
mauki :
kwa kwel hali sio nzuri kbs
2026-08-23 14:23:16
0
mama ibra og :
asante kwa mafunzo mungu hawabariki sana
2026-08-23 12:18:42
0
vaps49 :
Asanteni Crown media ongezeni vipindi maudhui ya maana kama haya
2026-08-23 15:25:43
0
Bint Aliy :
Subhanallah
Allah atuhifadhi Yaa rabby
na vipi kuhusu kutumia dawa za Asili ?
nazo pia zinadhara ?
2026-08-23 16:16:39
0
Fog Hunter officially AI :
machame narumuu😅
2026-08-23 16:29:10
0
Ludovik Assenga :
Mapombe tunakunywa sana
2026-08-23 09:42:05
0
masaki health care :
tuskie TU ila yaskukute
2026-08-23 13:00:26
1
Man Of God 🙏🏽 :
Mpeni kipindi rasmi awe anazungumza kila siku moja ya week… ili atuokoe na janga Hilo..!!
2026-08-23 12:52:55
0
dorinbalyagati :
😂
2026-08-23 16:59:20
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.