@mkuuculturaltourism: Vyakula vya Asili, Afya Yetu na Urithi Wetu Kutokana na kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza, kuna umuhimu wa kuendelea kuelimisha jamii kuhusu ulaji bora na athari za ulaji usiofaa wa vyakula vya kisasa. Tuirudishe jamii katika matumizi ya vyakula vya asili ambavyo vimekuwa sehemu ya maisha na utamaduni wetu kwa vizazi. Vyakula hivi vina thamani kubwa katika lishe, afya na urithi wa jamii. Pia, tuhimize utunzaji, uzalishaji na uhifadhi wa vyakula vya asili ili viendelee kunufaisha kizazi cha sasa na kijacho. Picha: Mjongeo (nduu/mamaya), mojawapo ya vyakula vya asili vinavyopatikana katika jamii za Wachaga. Tupende asili, tulinde vyakula vyetu, na tuhifadhi utamaduni wetu. Karibuni Rombo kwa utalii wa tamaduni, kujifunza mila na desturi, pamoja na kugundua urithi wa Wachaga wa asili. #VyakulaVyaAsili #AfyaNaLishe #UtamaduniWaChagga #RomboCulturalTourism #TupendeAsili
Mkuu Cultural Center - Rombo
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 09:03:14 GMT
Music
Download
Comments
marliouskiondo :
vibere
2026-08-23 09:51:21
89
Balmer07 :
Wachagga wa kibosho wanaita Nduu vichungu balaa🔥🔥
2026-08-23 17:02:14
53
0772915660 :
mamaya
2026-08-23 11:09:16
72
france mkiza :
AMASOMA😁😁
2026-08-24 19:17:49
37
lindah✨️ :
nduuu😋
2026-08-23 11:55:25
16
✨2K✅Tz :
wanaozijua kwa majina ni duuuh
2026-08-26 08:44:03
6
ma t :
amasoma,, sijawahi yaelewa hata kidog
2026-08-23 15:03:22
11
VIPODOZI MWANZA :
Masoma 🥰
2026-08-23 11:57:17
12
chosen🕊️ :
nduu hizo ni mbaya balaa...hafu Babu yangu analazimishaga Nile . nisipokula ugomvi😂😂
2026-08-23 17:50:23
10
royrohan999 :
wa moshii tujuanee apaa
2026-08-25 20:19:48
9
mekuhome0 :
Vibere
2026-08-23 11:50:35
11
Princess 👑 :
mbona nduhu za bibi yangu wa Rombo 😂😂lkn yeye anaita vimamaya😁
2026-08-24 06:54:46
13
jimmy :
hata kam njaa ndo mann hayo
2026-09-01 10:01:12
2
vivo😍❤ :
umenikumbusha nilkuwa n kul n bibi yangu mungu apumzishe salm 😏
2026-08-26 10:25:02
5
Miss lee. :
kikibosho- nduu🥰
2026-08-26 13:34:54
2
MrSWOT :
AMASOMA😅😅 In Haya tribe in Kagera region, Tanzania.
2026-08-24 10:57:30
11
er1ck :
amasoma
2026-08-24 16:30:40
4
God's gift :
amasoma
2026-08-26 16:41:15
1
Alfa Kawiche :
mm nazpenda sana mamaya tena zwe za uchungu
2026-09-01 18:53:09
2
Lisa💕 :
mhh yalivomachungu ivoo😭
2026-09-01 20:37:37
1
Divine Home essential :
Vitu vitu utavikuta moshi na same tu 😂
2026-08-28 16:18:40
1
Tailoredby_gee :
Nduu hizi,upate zile tamu zisiwe chungu unaenjoy😋😋
2026-08-24 17:52:42
4
mpare og ✌🏻🥳 :
hiyo kitu ni chungu jmn 🙌
2026-08-24 18:17:28
0
Dyness Ngowi🇹🇿 :
mambo ya marehemu Mamaangu haya maana mpaka alivipanda nyumbani daaa😭
2026-08-24 10:08:44
1
"𝕟𝕦𝕟𝕦 𝕕𝕠𝕝𝕝✨🦋 :
moshi wengine tunaita viberee😂😂
2026-08-29 11:13:25
3
To see more videos from user @mkuuculturaltourism, please go to the Tikwm
homepage.