@eastcar2: Majibu ya hii challange yanafurahisha sana kama bado huja angalia Download App ya Casandra kisha Subscribe kwenye review and insights kuangalia video hii. This challange was powered by @tens.group @molas_autohub @casandra_app @chlorideexidetanzania
mseme gari gan maana za magazeti zile unajikuta mwanza kabisa🤣
2026-09-05 04:46:34
17
Namtumbo Boy :
SGR aina foleni kaka ondoa gari zote Road ibaki gari Moja tyuuu Tena iwe V8 TWIN TURBO GXR 300 utaona kk masaa Matatu chuma ipo Dom kk
2026-08-24 02:25:40
15
khan :
HAPO KWENYE GARI BINAFSI TOA WEKA GARI ZA MAGAZETII MAEEEEH😂😂😂
2026-09-13 14:53:06
3
👑⚜️𝑾𝑰𝑳𝑬𝑾𝑰𝑳𝑬12⚜️👑 :
...... we unataka ushindane na umeme .... yan magari binfsi n masaa ma5 neti.... ila magari ya magazeti ... sijui yale n dk 10..tu @😂😂😂😂😂
2026-09-12 22:33:48
8
Shåy Mpëpë :
Nenda Kapande Zile Za Magazetii..,🙌🏽🙌🏽🤣😅
2026-09-13 00:31:38
1
CPSP(T) Upendo Mrema :
embu achen kufananjsha sgr na mambo ya ajabu
2026-09-13 13:51:11
2
user7808683334081 :
Mimi nilishawai 2008 nikiwa na defender puma
2026-08-24 05:27:09
4
Bàddest 15 ✅️ :
Sgr Umeme inawahi...
usicheze na umeme 🫡🫡🫡🫡
2026-08-23 21:09:15
3
@__iamphi🦋 :
private inafika kabla ya SGR tena tunaondka muda 1 ila tunafika na yenyewe baada ya Dk9 ndio ikadika
2026-09-14 08:42:47
2
chieff :
SGR kwakifipo
2026-09-15 09:37:45
0
Gifted :
Nambona gari imeondoka kabla ya treni ilitakiwa treni inapoanza kuondoka na gari ndio iondoke pia. alafu treni pia iwe express isisimame popote hadi Dodoma.
2026-09-14 05:14:49
2
ramson david :
inaamaana dar mor Saa Moja na nusu weeh Acha kufananisha umeme na mafuta
2026-09-14 11:09:24
1
Mr. Misele_Dar :
naona kunawatu huku hawajawai panda gari za njegere pale ILULA
Dereva anaambiwa zikiivia njiani tunakuuzia alafu ukutane na scania tandam oyaa 🤣
2026-09-13 23:36:59
2
Notorious :
inategemea ni gari Gani,na hali ya njia Iko vipi. ni ngumu kulinganisha kph185 na kph80-120
2026-09-14 10:47:52
0
Bennett Bankobeza :
swali la kifwamf kabisa hili
2026-08-23 14:49:38
0
TAMIMU ( E. 1)☦️ :
na waotumia tren binafsi
2026-08-23 12:41:08
1
user1027017447894 :
Oya hii chalenge inaonekana ilikua noma sana nataman nione ad mwisho plz tag me east cars
2026-08-23 19:16:34
2
Nasser💙🦋 :
GARI ANAWAI KUFIKA😳😂
2026-09-16 20:32:14
0
Mr sunking :
zile zinapotea wazee za magazeti ahaa apana
2026-09-14 00:17:27
0
Winnie_braidstz :
wa gar jmn msije pata ajali tu
2026-09-14 12:41:59
0
bunny :
sgr haina foleni, haina mambo ya kusamimashwa na traffic barabarani. yenyewe ni kituo mpka kituo
2026-09-14 08:54:46
0
sandra :
Sgr ni umeme jamani
2026-09-14 08:51:13
0
AK ''47'' :
nikiwa na lc 200 nafika kabla ya sgr
2026-09-17 21:55:01
0
Ivan_creator97😎🍁🦁 :
hapo express sgr inatoboa
2026-08-23 17:49:50
0
To see more videos from user @eastcar2, please go to the Tikwm
homepage.