@prbensonmwashinga: 🇺🇸 KWA NINI MAREKANI KUNA MAKANISA YA WAADVENTISTA WEUSI NA WEUPE? Hili ni jambo linalowashangaza wengi wanapofika Marekani. Historia yake ni ipi na ilianzaje? Hii ni EPISODE 1 kati ya 7. Chanzo: Encyclopedia of Seventh-day Adventists (ESDA). 👉 Tazama hadi mwisho, share, comment na Follow ili usikose Episode 2!#SDA#Church#usa🇺🇸 #Africa#
ndio maana ukristo sio dini yaana ndio tunawaambia ameni uko
2026-08-23 11:38:40
0
PeterJR :
Hata hapa Africa Kusini hivyo hivyo
2026-08-23 13:36:24
0
TEX :
kwa nini wanafanya hivyo
2026-08-23 13:15:41
0
Bill james :
mh kumbe mambo ni mengi huko duniani😂😂😂😂
2026-08-23 13:56:58
1
Meli Mutani :
ndg kwa tabia na asili ya sisi waafrika mm naona wazungu wako sahihi no bora zaidi
2026-08-23 14:14:49
0
Amani-Paul :
Tunaendelea kujifunza habari za siku za mwisho, ni muimu tujifunze kwa pamoja
Kwa wale wapenzi wa neno la Mungu, bonyeza hapo chini, ili tuzidi kujifunza kwa pamoja
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/JhmFI8kcmwZLeDm186t7Ho?mode=gi_t
2026-08-23 14:37:36
0
To see more videos from user @prbensonmwashinga, please go to the Tikwm
homepage.