@____mr_mwanya: sijui kwann mtu ukilewa unamkumbuka EX wako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 @baba_anjera jana kidogo tu tumrudie ex wetu

мŕ м𝓦𝓪𝓃уa  🦷_🦷
мŕ м𝓦𝓪𝓃уa 🦷_🦷
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 12:13:01 GMT
352829
42422
1293
373

Music

Download

Comments

raulent30manywele
MC manywele :
😂😂😂😂nilitaka nishangae tangia lini wanaume tuka gombana kisa mademu
2026-08-23 13:39:22
1094
user495814811912
cute🫰 :
huu sasa ni udharirishaji walahi 😔😔
2026-08-23 12:35:36
751
nanadior52
🦋Nana Dior🦋🌹♀️🇹🇿🇴🇲 :
faymomo typing
2026-08-24 15:54:17
3
user8434286954087
shangazi wa st.treasa :
msaada please🖐️mtt waelf2 cjaelew apo ety zimeshuka chin wap huko wenetu🥹🥹
2026-08-26 11:50:07
0
badiy.toto
badiy toto :
sasa nyie
2026-08-26 11:50:42
1
dogoissa77
dogoissa :
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hhhaaaaaaaaaaa🤣🤣😂😂😂😅😅😅😂🤣🤣😂😂😅☺️🤣🤣😂😂
2026-08-26 07:59:47
0
chuyutrending0
CHUYUTRENDING :
msha ishiwa content 😂
2026-08-25 16:18:13
0
user1477638172786
D.natty 🥷 :
:Mungu naomba huyu anaye soma hii comment Abakwe🥺 🙏
2026-08-24 00:42:13
191
aivinny86
Aivinny :
Natafuta comment ya fey momo😁
2026-08-24 14:34:44
0
webigwarioowe
WEBIGWARIOOWE :
60/60
2026-08-23 18:00:57
9
agisha75
agisha bertin :
akuna ugonvi wa wanaume
2026-08-23 16:26:34
209
miriam90475
Miriam✨🇹🇿 :
Ndy shida ya kuwa na mahusiano na marafik wawili wanayoelewana 😁
2026-08-23 14:00:54
161
mr.tonnie5
Mr_Tonnie :
wanaume hatugomban kisa mwanamke aiseeee😂😂😂
2026-08-24 08:52:45
23
shaxbaby4
shax :
simu yangu ndo imepona 😁 kwani hawa si walikua na ugomvi😳
2026-08-23 13:38:35
91
peterdc93
Peter DC :
Upwilu in English means what
2026-08-23 12:25:22
98
naem.wayanga
miss emmy❤❤ :
mnamzalilisha bint wa watu
2026-08-23 15:09:46
39
kwetexwilson
kwetex willy :
Hapo mnazingu tuseme tu ukweli coz mnamzalilisha lakin pia mnajizalilisha kwani hamuwezi kupata mademu wengine tuwaone
2026-08-23 12:49:06
68
zsaeshz
zawadieflaim :
wangapi tumekimbilia kusoma comment?
2026-08-24 14:42:33
8
jackilinejuma567
Ms jackie :
ila wanaume🤣🤣🤣
2026-08-24 08:03:51
23
phayner61
phayner61 :
Ila kuna baadhi ya wanaume hawajielewi kabisa😏😏😏😏😏😏
2026-08-23 18:08:14
11
criss.amoss
criss amoss :
wana huwa atugomban kisa dem
2026-08-23 13:22:58
17
dele2004
DELE🕸️ :
unajua nacheka nini😁
2026-08-24 04:30:21
6
mom.ruu.32.og
Joker msafi🚩🚩🚩🚩🚩 :
pambano rin
2026-08-23 12:19:05
10
sophia.johm4
mrs official💘 :
ila hii sio tabia nzuri nyie wanaume😳😳
2026-08-23 20:09:39
9
chaupol345
mama feisal :
ila so vzr mnamdhalilisha dada wawatu na istoshe yupo na mpenz wake mwingine dah sijui ata anajiskiaje😭😭
2026-08-23 17:39:40
8
To see more videos from user @____mr_mwanya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About