Kwa msiojua huyu ni mtoto wa mchungaji babaake ni mchungaji🥰
2026-08-24 09:56:13
270
Yo Soy_ian :
mwanetu kma kuna mahali umeiona safina tuambie tu
2026-08-24 11:13:09
185
Debro_The_Director :
kuna kitu kinaitwa WITO hii kitu hua haikwepwi utazunguuka weee mwisho lazima itakunasa tu 👏
2026-08-25 05:12:24
208
user7262599294511 :
Amen Amen and Ameeen 🙏🥰
2026-08-26 06:10:51
0
Sam Blessings :
Glory be to our Almighty God 🙏
2026-08-26 04:52:16
0
JDMelody :
MUNGU HATA KAMA SISI NI WATENDA DHAMBI LAKINI BADO TUNAKUTEGEMEA KWA KILA KITU 🧎🧎,unaeungana nami Sema AMEN🙏
2026-08-23 15:18:03
98
user1152128036378Rahma :
Ameen and Ameen in Jesus name Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-25 23:51:19
0
Diplomat :
Furaha niliyo nayo ni kuona Mungu anasema na wewe ndani ya kinywa chako sio Dhihaka kwa Maana umefanyika kuwa Chombo Mungu akupe nafasi uzidi kumtambulisha kwa watu
2026-08-24 07:02:11
204
Olaedo🍀 :
Zaburi 51, Zaburi 91, Zaburi 23 code ingine hiyo rudia hata Mara 100 kwa siku ukiweza
2026-08-24 17:19:20
53
ROBB7 SHOES 👟👠🛍️ :
Amen mr black Amen
2026-08-24 22:57:40
0
last born🤗 :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏keep it up brooo
2026-08-25 20:21:28
0
《MATHEW TRAVEL WITH US》. :
I believe 🙏
2026-08-26 07:48:51
1
Mwl:Brown Makelele :
hongera kwa ujasiri huu.
2026-08-25 04:59:57
24
Jane msigwa :
Mungu anajua kumbadilisha mtu saiz watu wanaona masiala badae anakawa mtumishi wa Mungu tunakuwa na ushuhuda wa kuwa alianza kama masiala kumbe Mungu ndio alikuwa anamtengeza kwenye njia zake
2026-08-24 01:48:32
37
Alice 🇧🇮 :
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu wa kesho
2026-08-24 11:37:51
18
Lady G 18 :
nikujazie na isaya 55:6
mtafteni bwana maadam ana patikana mwitenu yeye maadamu yu karibu Asante 🙏
2026-08-23 20:29:03
21
Vee love :
Asante sana Ubarikiwe🙏🏻❤️
2026-08-23 19:24:27
6
Elia :
Yeremia 15:20-21
20. Nami nitakufanya kuwa kama ukuta wa boma la shaba juu ya watu hawa; nao watapigana nawe; lakini hawatakushinda; maana mimi nipo pamoja nawe, ili nikuokoe, na kukuponya, asema BWANA.
21. Nami nitakuokoa na mkono wa watu wabaya, nami nitakukomboa katika mkono wao wenye kutisha.
2026-08-24 11:41:49
26
immaculatha :
una Nguvu ndani Yako mtumishi
2026-08-24 10:01:27
8
Pr.Innocent George :
Aminah Barikiwa sana mtumishi wa Mungu black.umenibariki sana 🙏
2026-08-24 09:02:11
8
Edgar_soul :
this's what I like from you...bro
keep it up bro...
2026-08-24 05:43:02
13
jay22 :
kwan @MR_BLACK🦾 kimekukuta nin maan sikuelew siku iz au nd mungu anarudi 😃🤣🤣
2026-08-23 17:37:28
15
Nicolaus_G_Simsokwe :
Yeremia 3:12
[12]Enenda, ukatangaze maneno haya kuelekea upande wa kaskazini, ukaseme, Rudi, Ee Israeli mwenye kuasi, asema BWANA; sitakutazama kwa hasira; maana mimi ni mwenye rehema, asema BWANA, sitashika hasira hata milele.
2026-08-24 13:38:04
8
To see more videos from user @mrblack_og, please go to the Tikwm
homepage.