@dr_daniel_md: 🥚 SI KILA YAI NI SAWA! Katika video hii nimeeleza kuhusu tofauti kati ya mayai ya kuku wanaofugwa kwenye cage na mayai kutoka kwa kuku wanaofugwa kwa mazingira ya kawaida. Lakini kumbuka: ubora wa yai hauamuliwi na “cage” pekee—lishe ya kuku, usafi, uhifadhi na usalama wa chakula vina umuhimu mkubwa pia. 👉 Tazama video hadi mwisho ujue unachopaswa kuangalia unapochagua mayai kwa ajili ya afya yako na familia yako. #Afya #Mayai #Lishe #ChakulaBora #AfyaYaFamilia
mna kataza kula Mayai, wali, ugali, chips, ngano aina zote, kuku wa kisasa, nyama nyekundu, soda, beer na alcohols zingine zote, tambi na vingine vingi hebu tusaidiane kutoa list ya vyakula vinavyokubalika kuliwa kwa mtanzania mwenye kipato cha chini maana Kila kukicha Kila mtu anakuja na idea zake🤔
2026-08-23 14:50:05
19
bubark :
Doctor are you a scientist????
2026-08-23 21:02:49
0
Pantokratory :
DUUUUUH KWELI HAWA KUKU WANA MADHARA...
2026-08-23 17:12:32
4
Lucas Mongo :
vyakula vyoote Kwa Sasa vina kemikali za Kila aina, mboga za majani, maziwa, ngano, mahindi......tule nini???
2026-08-23 15:17:55
6
Nurdin Chamberlain :
Yai ukishalikaanga au kulichemsha ukalieka na chumvi stress inaondoka 😂 fanya uchunguzi
2026-08-23 16:12:54
3
seyyid said :
hivi kwan ulaya kuna kuku wa kienyeji
2026-08-23 21:16:05
1
Ellygrapher07 Studioz :
walaji ukiwakuta, ni wabishi kama nn an😅
2026-08-23 13:40:27
1
monick s"j🥰 :
😂😂😂😂 mayai ya sikuiz unakuta yanamajina
2026-08-23 13:48:30
1
Toony :
Dr mm mayai sili Ila Hawa kuku Nakula Nyamaa Yao
2026-08-23 19:32:31
1
shotgun :
Je ya kuchemsha Yana shida
2026-08-23 20:58:57
0
Alex Mollel :
sa situache Maya na tukule kuku enyewe
2026-08-23 20:50:47
0
✌️✌️ :
kilakitu kizur na kilakitu kibaya mtajua wenyewe sisi ilimladi tunashiba mchawi kushiba
2026-08-23 21:18:40
0
user6106614431481 :
Kila mtu atavuna alichopanda
2026-08-23 19:50:21
0
ethel cute :
npe orodha ya vyakula vzr na bora Kwa matumizi
2026-08-23 20:43:21
0
user1816967155083 :
tumekuelewa ila na mwanaonae aachekula
2026-08-23 19:27:39
0
Moza Khalfan :
Asante dr
2026-08-23 12:51:53
0
yolanda january :
jamani eee tukele tusiache kula kitu kama roho inapenda % 95 vitutunavyokula sio salama hivyo hakuna ogopa tunakula tuu
2026-08-23 18:33:00
0
Amri Juma :
hujafanya utafiti vzr mengi niyaviwandani nibora ukala yakuku lakini mengi nikemiko fatilia
2026-08-23 16:35:35
0
Salma :
Somo zuri Ila background sound ni kubwa Sana hadi mtu atumie nguvu kubwa ku kusikiliza.
2026-08-23 17:01:20
0
Rugemalila :
watu tunakula Ai
2026-08-23 17:36:59
0
hip hopforever ♾️ :
daah bro saivi ayomayai namengi kinoma. adi toyo zinazungusha mtaani mayai nimengisana mtaani yani yamejaa. tumeisha isee
2026-08-23 19:54:02
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.