@kukupower1: jinsi ya kutumia box la kawaida kuwa kifaa Cha kutotolesha mayai kuwa vifaranga nyumbani kwako #VitaminiBooster #kukupower #creatorsearchinsights

KUKU PAWA
KUKU PAWA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 12:38:40 GMT
12447
289
27
86

Music

Download

Comments

growhealthy1
grow-healthy :
naipataje
2026-08-24 04:44:47
1
rehema.mlagalila
Rehema mlagalila :
Unageuza Mara ngapi kwa siku
2026-08-23 19:26:49
1
isayafrank8
isayafrank8 :
bulb ni ya wat ngap
2026-08-23 17:21:54
1
omaryngaro7
de omio :
nahitaji elimu zaidi nakupataje?
2026-08-24 06:09:21
1
user24041368167568
Dungosi :
sawa kaka
2026-08-24 13:36:32
0
kassim00a
kassim00a :
Naipataje kukupowa nipo Mtwara
2026-08-23 16:57:44
1
user20779359292651
Jadalu :
hayo mayai hayageuzwi
2026-08-24 13:50:07
0
negotiator8
Negotiator :
hiyo taa ndo ya joto na ni watt ngapi
2026-08-23 17:59:00
1
i.am.back2976
I am back :
Niulize tu, naomba uniambie hicho kilichowekwa chini ya box. na hicho kwa kikombe ni nini na kina kazi gan?
2026-08-23 17:17:29
1
bruno.moses1
bruno Moses :
Je ,Kuna wakala wenu chalinze
2026-08-24 12:55:21
0
novatson
pachaa :
kikomb hicho ni cha nin
2026-08-24 10:30:46
1
mwanamwisho
mwanamwisho :
nilishajaribu hiyo njia lakin vifaranga hawajitotoi na ukipasua unamkuta mzima lakin dhaifu sana wanaishia kufa tu
2026-08-24 11:53:22
0
tituskhisa787
Titotizo :
io bulb inaitwaje iwaponikienda kununua?.
2026-08-23 20:25:39
0
.miser
miser :
naomba kuulza, kuna wakati umeme unakata hata masaa mawili hapo inakuwaje
2026-08-24 06:45:36
0
rehema.mlagalila
Rehema mlagalila :
Unageuza malangapi kwa siku
2026-08-23 19:26:15
0
omaryngaro7
de omio :
vp nikiweka taa mbili boss?
2026-08-24 06:08:20
1
novatson
pachaa :
iuna geuxa mayai baada yA mda gn
2026-08-24 10:30:01
1
mesichhaadon
MESICH HA'ADON :
🥰🥰🥰❤️❤️❤️
2026-08-23 14:18:18
2
To see more videos from user @kukupower1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About