@musicupdate_worldwide: Diamond Platnumz amewapa mashabiki snippet ya wimbo mpya unaokuja akiwa amekutana na majina makubwa kutoka Afrika Kusini, akiwemo @Xduppy , @PRESIDENT YA STRAATA🅿️🇿🇦🏟️ @uncool_mc @LawdPorry , 🌍 @Diamond Platnumz Kutokana na hii snippet, tayari inaonekana kuna kitu kikubwa kinakuja! 👀🔥 Unauonaje huu mchanganyiko wa Diamond, Maphorisa, Focalistic na Xduppy? HIT au MISS? 👇 #NewMusic #diamondplatnumz #xduppy #tanzania #southafrica