@ankollahr7: nikimpeleka abidia mpaka anakoenda kinakuuma nini wewe ambaye hauna hata basi akisema #trendingvideo #tiktokswahili #tiktoktanzania🇹🇿

Ankolla hr 🔥🇹🇿
Ankolla hr 🔥🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 13:06:19 GMT
153630
5895
214
366

Music

Download

Comments

zehrahumairah
zehra🤍 :
good job Mr shabiby
2026-08-24 12:59:49
2
addygirl49
Addy🦋💕 :
Imagine mbezi to toangoma🙌 mtuhurumie jamn sisi watu wa mbagala na kigamboni😂
2026-08-24 06:40:38
57
veronica.adophu
Veronica Adophu :
Baba Una city yako mbinguni 🥰
2026-08-24 06:39:33
20
user1875597448036
elizabethsarah :
hawana huruma na wananchi wanachojali mapato tu
2026-08-23 14:09:14
126
kalinjumaelias
Kalinjuma Elias :
Usiseme wanatesa Abiria sema wanatesa watanzania wapiga kura
2026-08-23 15:18:01
51
happy.madera
Happy madera :
asante nimepona
2026-08-24 17:36:37
0
user5306351741051
user5306351741051 :
mbunge wangu umeongea point sana hebu imagine mtu anatokea zakiem anakuja STEND magufuliii ana mizigo ana watoto huo usafiri ad afike STENDI atatoa bei gani alafu siooo woteee wanao safiri Wana furaha wengine wagonjwa wengine wamepoteza wapendwa wao unakuta amekopa kahela umuongezeeee Tena mitihani ya tax hiyo tax analipa nani😭😭😭😭😭
2026-08-24 05:18:51
13
madizonga.msafiri
Madizonga Msafiri :
Tanzania Nchi Mbovu Sana kila mtu anajiamulia mwenyewe kwenye kila Jambo kuwatesa Wana Nchi
2026-08-24 04:53:47
6
appie763
Appie :
kutoka mbezi hadi keko 15000 mpaka kigambon 20,000 kutoka mbez had arusha 48,000 mpak hamsin na mbili haya jumlisha alafu piga hesabu kwa wale wanaotoka kigambon kwenda mwanza nauli wanatumia sh ngap ebu achen bhana mabasi yatutembelee had majumban bhana
2026-08-23 21:02:30
10
genius6353
YOBU 🫵 :
Naangalia video hii nikiwa kwenye basi ya Shabib muda huu na nimeambiwa lazima nishukie mbezi
2026-08-23 21:12:21
14
khanaiya_khanaiya
khanaiya 🌹🦋 :
maana Kuna baadhi ya mabus kwenda yanapita mbezi kurudi yanasema ayapiti mbezi yanaenda kushushia shekilango. ila wangeweka sawa pande zote. ili stendi itumike lkn pia wananchi watuhurumie tuh Kwa sababu mabus Yana park uko yaruhusu kwenda na abiria
2026-08-25 09:14:02
1
machinist776
Machinist :
Lazima sheria zifuate sasa kila mtu akiamua kushusha abiria anapotaka itakuwa ni nchi au? ndo maana stand zinajengwa huyu atetei abiria anatetea biashara yk
2026-08-23 16:52:42
7
pili.mduma1
Pili Mduma1 :
sema baba
2026-08-23 14:08:59
11
texasdio04
tex@sdio45 :
mbona airport munaenda mnazifuata ilipo
2026-08-25 07:29:58
0
ramadhaniliuka
Ramadhani Liuka :
eti mh mbunge daaah, ivi sheria nani ana tunga? je shelia ya usafili wa mabasi inaelekeza nn? ili nchi iwe salama basi lazima lishushe kituo kikuu .
2026-08-23 15:32:24
9
momyvini2
. :
just imagine natoka singida naenda mkoa wa pwani mbagala chamazi alafu nimepanda ESTA wakati huo iyo ESTA inaenda mpka chamazi magengeni alafu nishuke mbezi nianze kutafuta boda mpka chamazi 30k na apo ukute Nina mizigo ivi hii kweli ni haki jaman 🥺🥺🥺🥺
2026-08-24 10:05:04
2
user4442748124120
Philip Raymond :
lakini hawahawa wanunge ndio walipitisha budget za kujenga hizo stand
2026-08-24 14:39:49
0
ruby_ruby.555
Rubby :
KWELI KINAUMANM TAJIRI KUSAIDIA ANIRIA🤝
2026-08-24 17:30:58
2
racherbernad
racherbernad :
Busara sio lazima uwe tajiri chalamira yupo sahihi
2026-08-23 20:41:42
0
ikwisamwakanyamal
Ikwisa Mwakanyamale :
kabisaa chakuumanini?
2026-08-23 17:03:03
4
nkoswe_.love
Nkoswemea :
Waaambie hao
2026-08-24 17:44:24
1
nyigu404
user03626795658 :
na bado
2026-08-23 17:36:38
1
barakamuro437
BBM437 :
mbona sijamsikiya bungeni muda mrefu kidog
2026-08-23 17:58:29
0
nikichoy4rogo
4ROGO :
R.I.P MAGUFULI tulianza kusahau zalau izi
2026-08-24 16:50:25
1
To see more videos from user @ankollahr7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About