@jovano_world: #creatorsearchinsights #jovano_world #tiktoklive #tiktokcreator #alikiba #tiktok #viral #fyp #harmonize #alikibasongs #diamond

JOVANO_WORLD
JOVANO_WORLD
Open In TikTok:
Region: EN
Sunday 23 August 2026 13:09:23 GMT
92159
6457
147
89

Music

Download

Comments

userzaituni1
zai :
nilikuw nalia mimi jmn
2026-08-23 14:28:21
40
penina9300
penina :
penda sana skandali na kurfi🥰🥰
2026-08-23 14:11:52
15
beatrice5102
beatrice jovinary :
Daaah we acha2
2026-08-23 16:16:33
0
ndoke_bin_nammaji
MUTOTO YA YULE BIBI :
amayrah na lovly
2026-08-23 16:19:42
0
prince.romy43
ROMMY🧢🍂 :
hii muvi imefanya majina ya amara yatapakae tanzania😂😂
2026-08-23 16:22:46
5
rubi.ahmed1
Rubi Ahmed :
yani sichoki nailudia mala kwa mala
2026-08-23 15:06:20
3
user67115259794546
panther :
daaah huyu mtoto alijua kuniliza jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 17:21:07
1
queenbaraza
queenbaraza :
jamani kulfi
2026-08-23 16:49:39
0
happy_ngowi
Happy Ngowi :
Jamani kulfi aliniliza
2026-08-23 15:59:03
3
zuhu034
Mama Maya :
nilikuwa natoka kazn mbio mm jmnnilipia kifurush ad bas
2026-08-23 14:44:32
4
alaminomar6
Alamin 254 :
Samahani nmechelewa kuiona naomba kujua jina la hii movie
2026-08-23 15:58:45
0
calvinrithord
Calvinrithord.Jr :
Wa ngapi tunaikubali👆👆❤️❤️❤️
2026-08-23 14:47:57
2
daniell.magana
Daniell Magana :
inaitwaje
2026-08-23 16:31:51
0
user8325415122542
Dully noma :
eti madai walikuwa hawajuani
2026-08-23 13:17:42
3
mwajumaally393
mwajumaally393 :
miii wakwanza ,iliyoaga machozi kila niitazamapo, maana daaaa!!! ht mimi natamanigi kumuona babaangu ht kwa sekunde moja tu!!! ingetosha, sjawahi kumuona toka nizaliwe, ila tuu hua namuombea duakwa mungu popote alipo Mungu amlinde, nampenda sana maana yeye ndio sababu yamimi kuwepo alipanda mbegu kwamamaangu, popote alipo namwambia ASANTE babaangu
2026-08-23 17:23:12
0
mery.michael69
Mery Michael :
Anaimba vzuri sana naipndahii
2026-08-23 17:25:20
0
suhamipo
Sule_gy🍒🍒 :
hiii ilikuw hatr, sio poah
2026-08-23 13:43:45
2
user4188186378513
it's lovely🥰🥰 :
movie pendwa🥰
2026-08-23 17:16:13
0
mwajumaally393
mwajumaally393 :
ilinitoaga machoz
2026-08-23 17:23:57
0
dorica.charles.ch
Dorica charles Charles :
nampenda sana kolfi
2026-08-23 17:26:30
0
nabillglam3
Nabill🍫🍯Glamorous💋💄🫦 :
Wallahi hadi niliitwa mama kulfi shukeni 😁😁😁😂
2026-08-23 17:24:22
2
liu.and.ree
reymbise💕 :
siez sahau hii kitu🙌 ilinifanya nikiw darasan nawaza saa mbili inafika saa ngap🤣🤣
2026-08-23 15:32:22
5
deborahitato
deborahitato :
kulfu, natamani tuu irudiwe jamani
2026-08-23 17:23:12
0
To see more videos from user @jovano_world, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About