subhanallah kumbe mtu uyo ewe Allah naomba uniepushe n moyo mgum n unizidishie moyo wenye huruma n iman n subra 😭😭😭
2026-08-23 17:00:36
109
sweeet~~D"🦋🦋 :
Sote, tujue kwamba binadamu hatuna mamlaka ya kuua 😭😭wala kutoa hukumu yeyot, ispo kua mwenyez mungu tu
2026-08-24 07:11:12
176
Lason kipchirchir :
what's wrong with pple surely
2026-08-24 20:53:47
0
Mudhir :
Sub-annallah
2026-08-24 16:22:04
0
babe💝zephrus :
𝑒𝑒ℎ 𝑚𝑤𝑛𝑦𝑧 𝑀𝑢𝑛𝑔 𝑡𝑢𝑗𝑎𝑙𝑖𝑒 𝑚𝑤𝑖𝑠ℎ 𝑚𝑤𝑒𝑚𝑎
2026-08-23 20:12:41
28
hapyngairo :
weweeeeee
2026-08-24 18:17:12
0
naah cute🤫💞 :
yallab
2026-08-24 16:16:30
0
NJAMA OG VIJORA FASHION :
alijawakuta sawa mungu peke ndo Mwenye jukum lakuahukum ila Kuna mambo wanaweza kukufanyia unaamua kujiamulia mambo kama ivo
2026-08-24 11:19:09
26
duyube son :
duuh!!! kumbe kuna wa2 wana mioyo migumu nimeshindw kutazama et
2026-08-24 10:10:34
15
user1508491217970 :
allah
2026-08-23 16:34:46
7
💫Allah’s Servant 🤍✨ :
jmn watu mnajisahau san mnaoma dunia mmeachiwa saiv mnafanya kila mnachojiskia kumbukeni mungu ata🤌🤌🫴😭😭😭
2026-08-24 05:46:17
10
ash🧸☠️ :
waliojua ni mtu tujuane
2026-08-24 14:06:50
7
Mamy ❤🦋🦋 :
jamn iyo c sheria ya mwizi 🥹🥹🥹
2026-08-25 04:49:56
2
J v!rgO Jr99🔥👊👹 :
Dah kwel binadam hatuna huruma 😭😭
2026-08-23 19:57:19
18
Mr Chenny :
𝑒𝑒ℎ 𝑚𝑤𝑛𝑦𝑧 𝑀𝑢𝑛𝑔 𝑡𝑢𝑗𝑎𝑙𝑖𝑒 𝑚𝑤𝑖𝑠ℎ 𝑚𝑤𝑒𝑚𝑎
2026-08-24 11:01:34
16
cop Queen :
daaaaaah mungu anawaona
2026-08-23 16:19:31
7
dayana ❤️ 😍 :
duuh nn tn
2026-08-23 15:08:44
7
Aishram Abdully :
subhana llah wanatoa wapi watu wenye roh mbya kama hizi imefkia mahali mungu ndie anafaa kuhukum lkin leo waja wanashindana na kaz yake Allah. Ya Allah tustir huko tuendako manake daaah
2026-08-24 03:37:34
7
dayness🦋🦋🌹 :
mpaka mwili umeishiwa nguvu ee mungu nipe moyo wenye huruma
2026-08-24 08:07:36
0
enya girl💕💕💔 :
eeh mwenyez mung nipe moy wa hurum mm mwanao nifunz nijue kusameh na sio kuhukum mtu awae yoyot 🤲🤲
2026-08-24 13:40:03
3
💦...P.HQ💙🔗 :
atakae hukumu atahukumiwa🥺
2026-08-24 07:51:22
3
Aisha Scorpion :
subhanalaaah😭😭😭😭😭
2026-08-23 20:05:09
1
veronicavee66 :
jamani tuna jisahau kesho kwa mola daaa
2026-08-24 06:23:53
1
To see more videos from user @jamalykopa, please go to the Tikwm
homepage.