ila mafundi me huwa wananikwaza ukifika ndo wanaanza kuchanganyikiw sas😅😅😅
2026-08-23 14:43:45
87
Hii its loveness 💥❤️ :
Mafundi tujuane 😂😂
2026-08-23 16:40:35
25
Melania lilungulu :
mmmh fundi weweeer
2026-08-23 15:35:34
0
Baby Neyram🦋🌹 :
Nimekumbuka ninanguo ya mteja anaifata jion na nipo nimejiegesha kwenye cherehani nacheka tiktok ahsante kunikumbusha makhiiii😂😂
2026-08-23 14:46:43
46
dimariah :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Uwiiiiiiiiii chinekeeeee
2026-08-23 15:14:42
0
Miss V :
🤣🤣😂😂😂 ma philipo
2026-08-23 15:10:02
0
Regina Reginald :
wa kwanza
2026-08-23 14:25:12
4
⭐🌹Miss mimah❤💫 :
Mama phill naomba uyashone mahusiano yanguh😂😂😳
2026-08-23 20:01:58
2
Tinah john Emily :
daah yaan Hawa mafundi jau San me fundi alinifanya nisafili bila nguo yangu na ela ashakula yoyote
2026-08-23 15:39:49
5
pyaar :
kumbe na kushona wajua Khaa naleta zangu,hakika mama phii umeshindikana🥰
2026-08-23 14:45:15
6
James Melodies :
Huyu fundi alinifanya nikakosa sherehe😂💔
2026-08-23 17:55:46
2
irene.walles :
Unavoshangaa sasa kama huna kumbukumbu🤣🤣 usije tu ukagawa nguo yangu mama philipo
2026-08-23 21:49:45
1
Ms_mimi 💫 :
kwan wanakuaga wapi ck zote kuna fundi nilitaka kupigana nae asee
2026-08-23 17:32:24
1
comfort_tz🇹🇿 :
umeamua uniseme😅😅😅sawa
2026-08-23 16:31:09
1
Nurat3450 :
yan umebaruza 😂😂😂😂 ujakosea hata
2026-08-23 14:44:36
0
JanethEzborn :
mama philipo unajuw kunifrahxha et ngja niende ibadan kwaanz
2026-08-23 14:59:57
0
Shaky Jumaa :
😄😄😄😄 mtuache mafund hatuna ubaya na mtu
2026-08-23 20:19:25
0
Anna🤑 :
ndoamn mi huwa silip hel mpk anishoneee mn niliwai pelek kitambaa nishonew nguo za skikuku nilikuj kuvaa pasaka ndo nguo imeish ilishonwa miez 4 sin ham😂😂😂
2026-08-23 15:45:36
1
Oscar Mgisha :
mkewangu ni fundi cheleani jamani jamani uwezi amini kiujumla sjui nisemeje mungu wangu anapatwa changamoto iyoo😅😅😅
2026-08-23 18:40:14
0
cool-ellah💕 :
😂😂😂😂😂😂 Kwel kbc
2026-08-23 14:50:13
1
Donshaz Donshaz :
wana kera me nilpeleka nguo aka nipima kabs nikaenda nyumban siku imefika naenda kuchukua ana nipima tena wana ajui nilimuachia kitambaa cha rang gan dah nilichoka kabs
2026-08-23 16:48:36
1
🧜♀️ 🧜♂️ :
mm nilipeleka nguo yangu hadi imeliwa na panya😅😅😅
2026-08-23 14:56:30
2
To see more videos from user @mamatanzania1, please go to the Tikwm
homepage.