yaan cha kushangaza mashabik hawamtk julian, julian mwenyew haitak atletico ila viongoz bado wanalazimisha ..cha kufanya kijna ajifunge own goals akipat nafac ili wajue namn gan kachukia
2026-08-23 17:32:47
11
Hanaf_hn :
chakushangaza anaemfanyia ivo ni muargentina mwenzak broo
2026-08-23 17:30:48
5
FOCA :
wamwachie
2026-08-23 17:23:29
0
Himsel4 :
dirisha europe linafungwa lini kwan,,.
2026-08-23 17:05:33
1
Mubah94 :
Atletico ni timu ndogo sanaa bado itaendelea kuwa timu ndogo milele
2026-08-23 16:18:02
3
Hamis ali :
Arsenal wanamtaka si aende
2026-08-23 18:36:38
0
🤴BAD HUNTER 🐐 :
kwan kawafany nn???
2026-08-23 16:20:33
0
RAma :
anataka barcaa mii aendd tuu bhn
2026-08-23 18:45:46
0
gabh mdudu James :
inaumiza San broo
2026-08-23 18:32:21
0
LIL DURK OTF :
Kwan kawafanya nin
2026-08-23 16:39:25
0
Neema Samsonney :
jamani si wamuachie tu kaka wa watu aondoke wanamlazimisha nini sasa
2026-08-23 18:13:20
0
vance :
aje simba😅😅
2026-08-23 18:31:04
0
John Kessy :
shida ni nini mpaka wanamzomea
2026-08-23 18:46:27
0
👑KING 🐾 JARVEZ 🎱🫅🏽 👑 :
SI MCHEZO DAHH
2026-08-23 17:45:31
0
owinooo2004 :
basi hata aende olympiacos akabattle😅😅
2026-08-23 17:24:03
0
THE TRIBAL CHIEF 👑 :
bro mikeka inatugomea sanaaaaa
2026-08-23 17:23:27
0
Official lucovic17 :
daaah player anapitia kipind kigum kwel kwann wasituuzie tu barca
2026-08-23 17:22:17
0
🌟LAMINE__UNDOLE🌟 :
Mashabiki wanakasilika kwa sababu kama ndoto yake ilikua kucheza Barcelona Kwann alisaini mbaka 2030 Ata ingekua wew ungechukia
2026-08-23 17:21:22
0
Conte de 26 :
Anatakiwa awe na heshima na timu iliyo mpokea kwa furaha
2026-08-23 17:47:20
0
To see more videos from user @crian_idriss, please go to the Tikwm
homepage.