bro hiko unachokiona kwamba kwako ni content kupata likes na comment na wateja kumbuka hizo baraka zote mungu amekupa wewe sio kwamba wengine hawaoni ila wewe amekufanya kuwa namba moja kupata ila tu ukumbuke nyuma yako kuna wengi wanashindia hiko chakula kwa 2days na hawana uhakika mbeleni bro usafanye mzaha na baraka za mungu nakuombea mungu akuongoze ✍️✍️✍️
2026-08-24 10:29:06
633
STANCHO🇹🇿🇿🇦 :
tulio umia gonga like ap
2026-08-28 23:44:44
207
Zaituni Kelvin :
Mimi naumia [Teary eyed]
2026-09-06 12:00:17
0
XUDY.. :
brother me piya n fundi nahic uchungu kk toka apo kwaoyo jamaa that's too much
2026-08-26 19:38:15
17
Marthadesigns👔👗👖👌🤝 :
sijapenda kwakweli nivibayaaa
2026-09-03 18:48:28
6
debby :
unamwaga chakula achanifunge kwaajili yako MUNGU atanipa majibu 😭😭
2026-08-24 06:42:10
77
boyy.msafii610 :
Kaka apo umezinguwa mzee Umemzalish jamaaa content haziend hiv aise imeniuma sana broo 😥😥😥
2026-08-24 06:25:51
37
#STAR_CARGO⭐️# :
Sema bro content ixikufanye ufanye kufuru ama israfu za chakula sio vizuri kumwaga chakula bro
2026-09-03 06:21:35
10
elentrudakakinge :
nimelia Sanaa daaah mungu tujalie watoto wako kwenye utafitaji tusidharaulike