@mlewarealestate: ✨ USIKOWAHI VIWANJA VYA BEI NAFUU! TSH LAKI 7 KWA KILA SQM 400, 🏡 Kiwanja kwa bei nafuu sana, kwa ajili ya makazi na uwekezaji wa baadaye. 📍 Mahali: Kitanga Shuleni 🚗 Umbali: KM 8 tu kutoka Chanika Stendi 💰 Bei: Tsh 700,000 tu! 📐 Ukubwa wa Kiwanja: ✅ SQM 400 — 20m × 20m 👉 Kinachofaa kwa kujenga nyumba ya makazi au kwa ajili ya uwekezaji. 💵 Malipo: ✅ Cash au kwa awamu kulingana na makubaliano. 🚗 Kwenda Saiti Ni Siku Zote 📑 Huduma: ✅ Bati Na Mikataba Halali Kisheria 📍 Eneo linafikiwa kwa urahisi na linaendelea kuwa sehemu yenye fursa nzuri kwa makazi na uwekezaji. 📞 Wasiliana nasi leo kupata maelezo zaidi na kupanga ziara ya eneo. 🔥 Tsh 700,000 tu — usisubiri bei ipande ndipo uanze kutafuta! Mlewa Real Estate — Hakuna Baba Mwenye Gari Bali Kuna Baba Mwenye Nyumba +255 657 840 010 +255 762 515 040

MLEWA REAL ESTATE
MLEWA REAL ESTATE
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 16:16:24 GMT
13438
315
35
95

Music

Download

Comments

desdery.naomi
It's Desdery✨♥ :
unaazia shngap kulipia
2026-09-21 16:03:26
1
fetty.chimuru
fetty chimuru :
20 kwa 20 shingap
2026-10-01 12:44:17
0
anishajazile
anisha jazile :
kweli lak saka
2026-10-01 16:20:55
1
dihange1
Jossey :
ni uhakika kweli??
2026-09-22 06:12:13
0
chimamy.wady
❣️🇴🇲 Semaji la gulf ❣️🇦🇪🤪 :
Inshu usafiri unafika daldal
2026-09-06 04:16:15
2
brad_hord_ford
Prince Charming 🌠 :
vimepimwa??
2026-09-28 10:57:50
0
mr096859
DONE 👍 :
mbona kuna mlima sasa Boss
2026-10-03 06:27:37
1
sultan.ngoda
Sultan Ngoda :
muwe mnaweka namba sasa
2026-08-23 16:51:55
2
user7339126657010
Nasmira :
tuambie inafika msanga zalala. au vip
2026-09-24 15:54:42
0
user6961748778816
nasma :
weeee
2026-10-03 17:54:31
0
tuju.master
tuju master :
mm nipo mtwara napataje
2026-09-20 12:26:44
1
user1775971099767
user1775971099767 :
bajaji shingpi kutoka apo chanika mwisho
2026-09-10 18:21:52
0
papilione_edarise
CONTRODO🥊✔️ :
vp kuhusu umilikiwake??
2026-09-16 14:07:34
1
istan700
🦜Sh@@🦜 :
kidogo kidogo unaanza kulipa shngapi
2026-09-29 17:35:47
0
venus_tz5
venus_tz5 :
km ngapi kutoka chanika mwisho
2026-08-23 20:44:18
0
edwinjoseph153
Edwin :
nitakuj jp nitembelee viwanja
2026-09-18 08:57:15
1
To see more videos from user @mlewarealestate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About