@yonah_majaliwa: Wasomaji wa Bibli, JUA lilisimama wakati wa nabii nani?

church boy📚📖
church boy📚📖
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 16:59:13 GMT
24124
1893
441
39

Music

Download

Comments

mwinjilist.stafod
MWINJILIST STAFOD 🙏🙏 :
hapo utanielewa zaid mpaka jua liliposimama Yoshua 10:12 Ndipo Yoshua akanena na Bwana katika siku hiyo ambayo Bwana aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.
2026-08-23 18:58:36
175
user1602743835717
mama asimwe :
ndo nasikia Leo ila nimeokoka na yesu nampenda
2026-09-04 15:09:57
17
ailes.rwakyendela
Iles🌺 :
kumbe na jua iliwai kusimama? na hapo nalala na Biblia kitandani😂😂
2026-09-02 07:20:28
16
grace.yohana82
Grace Yohana :
baada ya kuingia coment section ndo nikajua ni wakati wa Yoshua 😂😂
2026-09-03 08:09:37
11
gabrielnjovu885
Gabriel njovu :
jibu ni yoeli
2026-09-07 16:13:14
0
neycute85
Neema Mushi :
Yoshwa
2026-09-03 20:44:54
3
user2539490022394
Amoc machps point :
yoshua
2026-09-04 06:47:47
6
lucason..01
BIBLE GOSPEL SHINE :
Mbarikiwe sana nyie mnao shiriki komenti pamoja na muuliza swali,
2026-09-07 12:06:58
7
rebeka.joel211
Rebeka Joel211 :
joshua
2026-09-28 07:04:01
1
omyg.nyaturu.naom
OmyG nyaturu Naomi Gidion :
elisha
2026-09-20 19:25:35
0
alvers428
alvers :
Eliya mtishimi
2026-09-19 11:09:22
0
lightnaomi5
lightnaomi5 :
nabii joshua
2026-09-04 18:32:36
1
user7082550295103
Mgunya janeth 1994 :
Mussa
2026-09-05 09:20:05
1
user8694169341132
OBEDY JOHN :
YOSHUA 10 ;12-13 ndipo yoshua akanena nabwana sikuile bwana alipo waita waamori mbele yawana waizraer jua simama apo gibeoni nawe mwezi katika bonde la ayalon NAYE JUA LIKA SIMAMA NA MWEZI UKATULIYA
2026-09-03 18:16:59
8
bahati.ndege
Bahati Ndege :
yoshua
2026-09-03 06:33:41
0
sara.bugamba
Sara bugamba :
Joshua
2026-09-26 21:33:42
2
naomi.mbalwa
Naomi Mbalwa :
yoshua
2026-09-14 17:21:02
1
luamaeuwriter
LUAMA Emotional Universe :
Joshua
2026-09-06 11:48:18
0
gracesospeter2
Grace sospeter :
Joshua
2026-09-02 13:20:12
1
mariamswila97
swila mzungu :
wakati wa joshua
2026-09-09 06:45:21
1
johannes0035
johannes :
yoshua
2026-09-02 00:28:07
3
user5402568186300
Neema john :
basi hausomi biblia yoshua alisimamisha jua kwanguvu za Mungu ndani miaka mi3 na miezi6
2026-09-15 16:13:43
1
carensimon2
Caren💝🌸🔐 :
Joshua Baba wa Imani 🥰🥰
2026-09-03 15:30:03
1
naomiamoss1
user2030926063481 :
duh kumbe jua ilishawahi simama na niko nalala na biblia sijui akili zangu pumbavu
2026-09-07 08:44:12
0
user6013441003560
MSUVA FBM :
Yoshua Mwana nuni
2026-09-06 13:53:22
0
To see more videos from user @yonah_majaliwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About