Iyo 2.5 kibokoo 🙌🏿now naweza hata kutazama mtu usoni 😂
2026-08-24 11:04:25
6
Miss Becky❤️ :
Mnapatikana wapi iyo adacin ni fire🙌
2026-08-24 21:06:09
1
sweetylovito :
mm nimetumia hio ya 2.5 vikakauka naona vimerudi tena
2026-08-24 08:46:13
4
iheylbluey :
Adapalene hels dermatologist wa regency hosp aliniandikiaga nkawa natumia, sinc then nkaamua niwe nanunua mana inasaidia kukausha japo inafanya breakage of skin but the best inakausha vzur sana tuu
2026-08-24 19:04:45
2
Jessica ndossy :
mmmh hyo acne free imenifanya hamna nimetoka mapele makubwa makubwa sasa sijui ndio napona au ndio nakufa kabsaa
2026-08-24 19:44:56
2
femione0 :
Adapelene bei gan na hio benzoyl peroxide?
2026-08-24 17:11:32
0
user5378430263600 :
Mimi natumia iyo 5Gel siku ya tatu sion mabadiliko nd yanazidi kututusika
2026-08-24 10:41:46
1
edch🥰😘 :
hizo moisturizer unauzaje
2026-08-24 09:57:11
0
lady_M95 :
Ya pili kutoka mwisho balaa , so ikiisha ninunue 5
2026-08-24 05:27:19
1
kidoty234 :
me niltumia persol 2.5 nilkuw na chunus zikaisha sakiv yamebak madoa nitumie nn
2026-08-24 09:03:38
1
Mary Silver :
Naomba hiyo moisturiser ya Simpe
2026-08-24 11:16:16
0
user4737180132361 :
shingap na mnapatikana wapi
2026-08-23 18:37:58
0
MJ :
vinafuta madoa???
2026-08-24 11:23:26
0
Reallyrose :
mim nina chunusi kubwa kubwa jmn nmetumia kila kitu nmechoka
2026-08-24 07:37:00
1
Tegemea Elias :
Mimi zimenisaidia Ila Nina madoa
2026-08-24 10:37:36
0
pendo madaki :
Nimenunua hyo face wash ya simple refreshing na hyo face cream ya simple hydratinglight ila ikanitoa upele mwingi jmn mpaka nimeiacha japo siku za kwanza ilikuwa vzr tu,sa cjui nakosea wapi,au niwe napaka na hyo persol 5 pia?
2026-08-24 18:16:56
0
The pink🧠 :
nmetumia hyo ya no10 imenitoa vipere sura imeharika mnoo
2026-08-24 10:08:58
0
neymo :
me nilitumia hyo ya chini kabisa miaka4 sasaivi sijapata tena chunusi
2026-08-24 09:09:53
1
meeggy2 :
Unapatikana wapi
2026-08-24 21:07:03
0
cuteG :
nilipaka 2.5 jamn Sina hamu nilivimba nilitoka wekundu niliwasha uso aisee
2026-08-24 21:47:02
0
N🇹🇷♥️ :
hio ya 2.5 mbona imetoa madoa yote ila inachubua mi staki ya kuchubua
2026-08-24 21:02:07
0
its_ryne👅 :
Mim jmn iyo persol forte cream 20g inaniwasha jamani
2026-08-24 20:30:39
0
jeniferleonard363 :
2.5 nilivimbaaa
2026-08-24 22:07:43
0
Miss lee Michelle :
nasoma comment 😳
2026-08-24 07:19:03
0
To see more videos from user @rumar_medics, please go to the Tikwm
homepage.