@charm_chiccah:

Charm charm
Charm charm
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 18:03:18 GMT
22501
1629
150
123

Music

Download

Comments

magrethmwaitebele
[email protected] :
definitely 💯
2026-08-24 03:57:53
0
user7347901843883
Mama G :
Hatupendi Dharau hasa sisi wa kyela 🤣
2026-08-23 18:19:54
36
user8347552785422
gee roisly🦋❤️ :
😂😂😂hata me spnd kupndw kchw
2026-08-23 20:15:41
0
victorysmom
Liah Mboka Hebron :
Nina PhD ya Ku cut off pipo nonchalantly....onganisha na Ile ya I don't give a f... totally me proudly nyakyusa here ..😂😂😂
2026-08-23 19:24:07
7
mulky507
Mulky 😘🦋❤️ :
Ukienda kwa mnyakiusa huwez ondoka na njaa ata Kama haukuwa kwenye bajet yake 😁😁😁
2026-08-23 18:07:28
42
d_ee97
D££97🦋 :
😃Hapoooooooo……👌🏼👌🏼👌🏼
2026-08-23 19:13:46
0
mejala_motors
Mejala Motors :
Wanyakyusa na brand ni hivi🤞🏾
2026-08-23 20:36:32
6
neema.mwakalinga8
Worship therapy🛐🙏❤️ :
Thats us,love is our priority nkamu❤️
2026-08-23 22:39:00
0
js.mam7
J’s mam Accessories :
Tunalinda brand 😂🙌
2026-08-23 20:37:47
0
julianaed1
Nana decor 😍 :
Mimi Nina degree Ya kununua 🤣🤣Ila wanyakyusa 🙌kuna watu walinijaribu mbn waliomba msamaha 🤣
2026-08-23 18:08:07
11
cell0768
cell :
🤣🤣🤣🤣 wanyakyusa wenzangu oyeeeee
2026-08-23 20:52:06
8
vimwalusa
bee🐝 :
kabila la mbinguni🥰🥰
2026-08-24 04:10:17
1
estherasherly
Essie🎀 :
mtanishtua
2026-08-23 18:07:15
3
irene.kimaro68
Irene Kimaro :
Sina ham na ili kabila
2026-08-23 21:20:03
1
queenhappy179
Happiness Events &Decor :
bandugu mlipooooo mwe
2026-08-23 19:50:02
2
winnie21663
Slay with Winnie🛍️ :
Wanyakyusa unavyokuja Ndy tunavyokupokea sio shida zetu😂😂😂
2026-08-23 18:48:32
4
tupokemwakapala
tupoke product :
💯💯😂😂 umetuwakilisha vizuri
2026-08-23 21:09:11
1
momnigegian1
My lovely umu💕🥰 :
Hata dadaangu alinuniana na mtu Tanguay shule ya msingi hadi leo na anawatoto 2🤣🤣🤣
2026-08-23 19:26:53
1
ndindigirl
ndindi😘 :
Kabisa bha gwitu😂🥰
2026-08-23 20:34:10
1
mamacita4431
mia🤩 :
tuna upendo sanaaa ila pale ukileta za kunijua sanaa ndo unapoharibu 😅😅
2026-08-23 21:15:38
1
lilianimwangombora0
lilianimwangombora0 :
sijawai juta kuwa mnyakyusa
2026-08-23 19:59:21
1
madambertha
MADAM BERTHA | IRINGA CHIMBONI :
Umemaliza tabidi nianze kununua na shower gel kwa mnyakyusa wanguuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-23 20:00:41
1
graciapr
GRACIA🌻 :
Ni kweli home girl🥰
2026-08-23 19:31:05
1
ms_nation1
DIVER 👑 :
ukiskiaa tumesem Aseeeeee😂😂jua bas
2026-08-23 19:14:31
1
To see more videos from user @charm_chiccah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About