@atuganilemwakosya: WAUMINI ZAIDI YA 50 WADAIWA KUVAMIA NA KUVUNJA UKUTA WA UKUMBI MBeya Waumini zaidi ya 50 wa Huduma ya Fellowship Tanzania (HUFETA) wanadaiwa kuvamia na kuvunja sehemu ya ukuta wa ukumbi uliopo Mtaa wa Mwanyanje, Kata ya Igawilo jijini Mbeya, katika mgogoro unaohusu umiliki wa eneo hilo. Tukio hilo linadaiwa kuchochewa na madai ya waumini hao kwamba aliyekuwa Katibu Mkuu wa huduma hiyo, Frank Mgeni, amejimilikisha ukumbi huo kinyume na taratibu zilizowekwa ndani ya HUFETA. Waumini hao walifika eneo hilo na kuvunja sehemu ya ukuta wa ukumbi, wakieleza kuwa hatua hiyo inalenga kupigania mali wanayoamini kuwa ni ya huduma na ambayo haikupaswa kumilikiwa na mtu mmoja. Mgogoro huo unadaiwa kusababisha mvutano kati ya baadhi ya waumini na uongozi wa zamani wa huduma hiyo, huku waumini hao wakitaka umiliki na matumizi ya ukumbi huo kurejeshwa katika utaratibu wanaodai kuwa uliwekwa na HUFETA. Atumedia inaendelea kufuatilia mgogoro huo kwa ajili ya kupata upande wa uongozi wa zamani, Frank Mgeni, pamoja na taarifa kutoka mamlaka husika.

Atumedia Gospel Tv
Atumedia Gospel Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 18:10:48 GMT
123966
2240
192
232

Music

Download

Comments

sultanali8523
Sultan Ali :
I'm proud ☪️
2026-08-24 09:50:21
0
tumainisailoss
sailoss_12 :
shida nin jamn nipe ata stor fup
2026-08-24 05:40:07
0
user3991555259013
Official Mag 🕊️ :
tunaotaka kujua sababu ya kanisa kunvunjwa like hapa ili wanao elewa wake watueleweshe
2026-08-24 08:15:14
14
adrian.brayan7
adrian.brayan :
SIYO KWAMBA WALITAKIWA KUOMBA ILI UKUTA UVUNJIKE😡
2026-08-24 00:26:57
13
edina.kyando
V Money :
Waefeso 4 26.27 kama mkikasilika msikubali hasira yenu iwafanye mtende dhambi
2026-08-23 20:35:28
29
khidayakelvin
Khidaya Kelvin :
Jaman si mtaani kwetu apoo
2026-08-24 05:07:53
6
user54766797511851
summayya shaaban :
mbeya wameanza kuinuka wameanza kujielewa hawataki kutumika kuwanufaisha
2026-08-24 07:18:42
4
user653048555418
Gaudencia :
mm naitaj kujua jaman kwan kuna shida gan hadi makanis yabomolewe
2026-08-23 20:46:37
9
shgsmgsm
Shaban Fundikira :
SASA JAMAA MNAVUNJA KWA AJILI GANI,WAKATI MNAO USHAHIDI NA MNAOUWEZO WA KUFUNGUA MASHTAKA NA JAMBO HILO LINAWEZA SHUGHULIKIWA KISHERIA BADALA YA KUHALIBU MALI YENU WENYEWE.
2026-08-24 09:33:37
1
annychris70
Dr.anny :
Pesa, pesa, mbingu tutaisikia tu, watu wamegeuza makanisa kuwa maduka yao, Yesu anarudi atakuja kumlipa kl mtu na kazi yake
2026-08-24 05:00:46
7
grace.heme
grace hemenick :
ila frank alivyo kuwa anaubili sana kwenye maradio sasa kwann kuanguka kwake awanyanyase wengne
2026-08-23 21:06:16
10
cute.moo29
Servant moo🥰 :
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa kama yeye mtumishi wamungu kakengeuka msishughulike nae mshitakini kwa mungu si mwanadam kama umeokoka kweli lazima uwe na tunda la roho (1) upendo (1) uvumilivu zipo nyingne lkn nataka kusema kwamba tunda la upendo limebeba hayayoote naamini kama mmeokoka kwa uhalisia bas mngeenena kiroho na mungu wetu sio kiziwi vita vya kimwili vinahitaji nguvu kubwa ya pesa wapendwa mnaweza omba msaada na msipate
2026-08-24 06:59:55
1
denirah3935
deborah black b😍 :
eeh MUNGU imefika barua watu wana vunja nyumba za ibada
2026-08-23 21:13:27
3
natalia_frank___
Mrs Sanga❤️ :
Dunia imeisha,kweli watu wa Mungu wanafanya vurugu
2026-08-24 05:47:19
1
ruth.somii.210
RUTH SOMII 210 :
vita vyetu si ju ya damu na nyama bali ni falume na mamlaka katika ulimwengu wa roho
2026-08-23 19:57:17
7
angelabeton3
👑✨AngieGlow_Tz🦋💖 :
kanisa gani
2026-08-24 06:35:32
1
rayleecuyz
Raymond :
Viongozi wa zamani wanataka kutumia nyumba ya Mungu kama pango la walanguzi?
2026-08-24 01:21:50
3
khidayakelvin
Khidaya Kelvin :
Jaman si mtaani kwetu apoo
2026-08-24 05:07:53
4
yasinta.eustus
Yasinta Eustus💫 :
mambo ya kujimilikisha Mali za kanisa/washilika, matokeo yake ndio haya🥲
2026-08-23 20:30:41
5
mama.c283
mama C2 :
huwezi ukajenga wewe alafu ukawa huna huruma na Mali Yako ukavunja, huo ni uongo, ni kama mama aliyepewa mtoto amganyishe akasema Bora wagawane vipande. hapo kuna shida kwa hao waumini
2026-08-24 07:38:15
0
grace.heme
grace hemenick :
kwel sacos ndo ilikuwa inauza eneo lilikuwa linalimwa nyanya
2026-08-23 21:07:25
1
kiduduwa
@kidudu :
mtaa wanguu haunaga dogo 😂😂
2026-08-24 04:32:41
0
sekeloptia3
~塞克拉 :
Apa ndio utajua dunia imebaki sekunde Yesu arudi
2026-08-24 04:42:47
2
sam.kyando0
sam kyando :
Yesu alisema dini au wafuasi wa dini ya kweli, utambulisho wao mkuu ni "upendo" , (Yohana 13:35), wala hawapelekani mahakamani kushtakiana kesi (1Kor 6:1-8),
2026-08-24 06:41:20
3
apostal.skalumba
Apostal Skalumba :
Kilichokosekana nimaarifa
2026-08-23 20:17:05
3
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About