@omarimshairi: SELEMANI MWALIMU: SIMBA NDIO WAMESHIKILIA MPINI! Suala la Selemani Mwalimu kutocheza Yanga hadi sasa linaendelea kuibua maswali mengi. 👀 Taarifa zinazoendelea kusambaa zinaeleza kuwa Simba SC hawajafungua njia kirahisi, licha ya Yanga kufanikiwa kumpata Mwalimu kutoka Wydad Casablanca kwa mkopo. Simba awali walikuwa wametangaza kuwa mshambuliaji huyo angeendelea kuwa sehemu ya kikosi chao msimu wa 2026/27. 🔥 Kwa lugha rahisi, mpira bado uko kwenye mikono ya Simba—ndiyo maana Mwalimu hajaanza kuonekana uwanjani akiwa na Yanga kama mashabiki walivyotarajia. Hii siyo ishu ya kocha kutaka au kutotaka kumtumia Mwalimu, bali inaonekana kuna jambo la kiutawala/kimkataba linalozuia ushiriki wake kwa sasa. 👀 Je, Simba wataendelea kushikilia mpini hadi mwisho, au Mwalimu ataonekana uwanjani akiwa Jangwani? #yanga #SimbaSC #selemanimwalimu🔥🔥 #simbasportsclub #NBCPremierLeague

Omari mshairi
Omari mshairi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 18:35:07 GMT
109514
5465
140
182

Music

Download

Comments

kivuyo19
Davoo Nuruh🔥 :
Kama vipi wampleke tu yanga quen akacheze rede na wenzake
2026-08-23 19:23:11
64
bright27028
WilB KISAMO :
Kama Wamemtorosha Wanashindwaje Kumchezesha
2026-08-23 19:42:59
65
baaburayyan
Nurdin :
THIS IS SIMBA🤣🤣🤣
2026-08-23 23:40:32
0
user96160791485603
user96160791485603 :
wasiojua kama mimi gonga like hapa
2026-08-23 19:06:38
33
user600274394715
ronige jr :
waambiy brooooo
2026-08-23 20:01:48
0
salma.shaban72
Salma shaban :
ila lisele lizuri jamani🤣🤣🤣
2026-08-23 20:11:41
14
user9725912705534
seche :
hii picha ya sele haihusiani na kinachoongelewa n Ahmed ally,
2026-08-23 19:50:09
16
isayahosa
Isaya Hosa :
Aibu wataona waooo
2026-08-23 20:07:57
4
aishamapisi
Aisha Mapisi :
😂😂😂😂😂 kwishaaaa
2026-08-23 19:38:33
0
userdaviddepius.jr2026
David De Pius jr :
ahaaaaaaaa☺️🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 20:05:36
0
user5774977572331
jackson mwa2 7 :
unajua seleman alikshvevdggwuhrbkdjcbzvvzggshfjxjbxbvscsvshjskfkcnbxbvzvshs
2026-08-23 20:06:09
0
samusoniemanueli
NCHEMBA TZ :
kwisha sele
2026-08-23 19:05:24
9
frowini.komba
frowini komba :
unajifanya unaliaunalianini,simba ni clabu kubwa,kwasheriatuì mahali pake.simba nimewaelewa sana,maana yanga wanapendasanakesi🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-23 20:28:20
3
mwalaly
santoz... :
sisi haituhus
2026-08-23 19:20:51
6
joycesamweldaghar
Joyce samwel Dagharo :
walijisifia mpaka kumsajili sa Tisa usiku wanashindwa nn kumchezesha SASA
2026-08-23 20:23:59
4
user5916153683218
Baby [email protected] :
Mpaka nimekumbuka wimbo wa Mbosso Wa seleman
2026-08-23 21:18:12
1
dennismagessa272
DENIS MABU :
safi sana Simba ilikuwa imeisha muweka kwenye mfumo tiari yeye kaenda yanga hapo kucheza hadi Simba wamtoe kwenye mfumo kajichnganya
2026-08-23 20:16:46
7
chingawadunia87
chinga wa dunia :
jamn kwani kimetokea nn mnanicha njia panda
2026-08-23 21:40:01
0
overthinker_curious
Gen..Alpha* :
sasaa"KAMA WAMEMTOROSHA,WANASHINDWAJE KUMCHEZESHA?.."
2026-08-23 21:13:38
1
wadhifa.abillahi
wadhifa abillahi :
mwachieni uyo sio kosa lake
2026-08-23 20:01:58
0
wankyo327
Amosi Chacha :
asante sana simba
2026-08-23 19:52:13
2
krdiggoboy45
Ibn Ruwa jumaa 45 :
Ss hatumooooo kabsaaa watajuaaa wenyeweee😂😂😂😂
2026-08-23 20:14:25
1
asma.malicki
Asma malicki❤️🇹🇿 :
huu ya muda san jamn
2026-08-23 23:49:15
0
nyampala51
Nyampala ⭐️5️⃣ :
🙏🙏🙏Sele sele sele pole
2026-08-24 00:30:09
0
To see more videos from user @omarimshairi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About