@lbeliahgamingtz: How to get easy M14 upgraded🥵💪🏻. By LB ELIAH #PUBGMOBILE #pubgmnextstarprogram #PUBGMS31 #lbeliahgamingtz #easywaytogetm416 @PUBG MOBILE AFRICA
wanang wa PUBG mobile tanzania nimeanzisha group chat kwa ajili ya tuwe maarafk tuwe tusaidiane kwa wale tusio jua game vizul Kwa anae hitaji anitumie number yake dm
2026-08-25 05:44:29
2
DNA乛Ryker :
nikajua Kuna njia ya kupat bil kuwek uc
2026-08-28 07:41:25
1
king_of_Love360 :
wange weka mawe ya x-suit ninge enjoy Sana ninayo 700
2026-08-25 13:06:37
1
moon🌙 :
ilo jiwe moja unabdilsh kicipi?
2026-08-29 06:20:43
1
ಌ𝐖𝐬❢ 𝐌𝐔𝐃𝐈𝐓𝐳 :
kumbe
2026-08-24 05:17:56
2
One_Army :
bila UC😂
2026-08-24 11:47:46
2
SAMKICHY :
jins ya kununua uc boss
2026-08-24 18:23:41
1
Emmanuel_TZ :
unaweza kuta ninayo lakini sijui maana me nachezaga tu
2026-08-27 22:43:43
1
0TF〆CANAL :
muda ni wakati😁
2026-08-25 18:09:33
2
7. 𝐍𝐚𝐝𝐞𝐫 🇸🇴 :
daaah bro kunywa maji kdg 😭😂🥵
2026-08-26 18:02:29
1
A͜͡乇٭KEAM 🇰🇪 :
acha nikam na kamusi😂
2026-08-25 11:43:25
1
FaiCR7 :
I'm done
2026-08-26 00:30:01
1
king_of_Love360 :
naandika majina ya wanao taka m4
2026-08-25 05:32:31
1
:
Ndo wepes uwo😹
2026-08-23 19:08:21
1
Qâng' :
Nilikua na jiwe moja kubwa lakini nikanunua lobby kwa vile sikua nimeangalia video yako 😂. Hii video ingenisaidia sana kama ningeiona awali.
2026-08-24 03:20:14
2
Bacho :
2026-08-23 21:00:28
1
kT๛MRUSI±255😐🤫 :
hayo mawe unapataje
2026-08-23 18:54:33
4
Bacho :
hujakoseaaa kk tatizoo helaaaa
2026-08-23 21:06:25
1
007🐊🐊🐊🐊🦚 :
hiii game jau sana mwaka wa 5 sijaifahamu mpaka leo hujui siku gani wanatoa ofa wala nini nilinunua uc 150 sijui nitumie nini🤣🤣
2026-08-24 06:54:00
1
To see more videos from user @lbeliahgamingtz, please go to the Tikwm
homepage.