@courtroomafrica: MWENDELEZO EPISODE 3 Jamhuri wanaendelea kumhoji Shahidi wa Pili ambaye ni mke wa marehemu Nongo. Je, ushahidi wake utatosha kuthibitisha mauaji ya mume wake, au ukweli utachukua mkondo mwingine? Tazama mpaka mwisho, kisha tuambie unadhani hukumu itakuwaje. Based on the real case of Chacha Jeremiah Murimi & Others v. Republic, Criminal Sessions Case No. 231 of 2014, High Court of Tanzania at Mwanza, Judgment dated 16 October 2015 (Makaramba, J.) #courtroom #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿