@softena100: softena tuna deal na ngozi tunapima ngozi kwa mashine tunashauri kitaalam na kukupatia bidhaa sahihi tupo new mwenge plaza dar UKIFIKA utaona bango litakuongoza pia tuna mawakala ndani na nje ya nchi huduma zetu ni kwa wanawake wanaume na wanawake