you're really an inspiration for many 🫡🫡🫡🫡🫡 halllllar
2026-08-24 17:58:29
0
Official lizer. :
Mungu aendelee kumzidishia kaka yetu Harmonize wote tuseme amen🙏
2026-08-23 20:23:57
123
khamixon khalifa :
Mapambo Ya duniani tyuu
Najua Tutaviachaaa Tyuuu🙏
2026-08-24 11:25:05
11
sharry💦 :
mashaallah harmonize
2026-08-23 21:23:32
2
Amos mwathiki Man :
my dream
2026-08-24 07:48:00
0
Angel ayubu :
another Mansion in the city
stay blessed
2026-08-24 13:00:46
1
Chazzy Marco :
kesho yako ipo mikononi mwa mungu sema amen
2026-08-24 06:53:30
18
Light Molely :
where is spaceee
2026-08-24 09:06:17
0
mkwavinyika jr :
nyumba kubwa kweli ila sioni vyumba
2026-08-24 07:15:34
10
Ecosystem :
expensive life hallah
2026-08-23 20:30:54
1
A. M. M :
waoooo
2026-08-24 09:28:56
0
Melissa Victor 🇹🇿🇹🇷🇲🇾 :
Hii nyumba ina vyumba vingap
2026-08-23 21:35:02
8
✨Toby@Kitugwa🔥❤️ :
Kubadili maneno kuwa ela so mchezo📌💯congrats Mwemba🦾🔥
2026-08-23 19:50:18
16
SANNY MWEMA₩₩ :
na hapo je
2026-08-24 05:09:16
6
nax1980 :
jaman hi ni AI 😂😂😂😂😂ila mwijaku
2026-08-23 20:18:19
3
Cde bad :
ndoto ya kila mwanaume mtafutaji ni kuipatia maisha bola familia yake aijalishi anapitia yapi nasi ipo siku siku tutamalizia tulipo paanza ata ikiwa kwa udogo ongela broh u made it pull up
2026-08-24 14:39:18
1
Innoss006.Jr... :
Fedha mali majumba magari na dhahabu ni vitu vya kupita tu ila namuomba 🙏 MUNGU na mm niweze kuvimiliki 🥹🥹🥹🥹
2026-08-24 09:50:05
1
Bumbastik :
kasri la billioni tano nukta tatu(5.3)...call me DC mwijaku expensive life....pongezi mkuu....haaaaaala
2026-08-24 09:47:37
1
⚜️Erick.d.Collection :
halaaaa✊✊
2026-08-23 21:44:21
1
Emmanuel6 3062024 :
Hii ni ile ukiwa karibu na uwaridi lazima unukie @ simba wa bahari😎
2026-08-24 10:18:05
1
Teeh 🦋 :
mm niliwai kuwa chawa lakn nilikua naambulia kula tu nakuvaa jaamn😂😂