@mkalibanju:🦍:kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zang
2026-08-26 09:15:00
2
Vanilla Palmah :
Panawasha au🤨
2026-08-26 09:45:07
4
rutfah 💞💞 :
mtumeeeeeh kameingiaaaa😂😂😂
2026-08-26 03:05:16
9
Pinna boy :
naendaah😌😌
2026-08-26 08:57:21
4
@wantaglow o'g🥰 :
mzm kwel
2026-08-25 15:12:06
3
Layd Deo :
maajabu😂😂😂
2026-08-23 20:52:02
1
neema 💖 :
kumekucha
2026-08-25 17:33:18
1
Lahabi A Nkupe :
kamee wekaa
2026-08-26 10:03:18
1
mrs.mwakitalima :
jamaniiii😪😪
2026-08-26 12:33:59
1
💘@Pomeka officer@💯 :
duuuuuuuuuh maaaaaaaam iyo nn dogo
2026-08-24 14:05:57
1
A..23@ :
Atafutwe haraka sana iwezekanavyo maan tukichelew kidogo tuu tunampotezaa
2026-08-26 10:21:47
3
Fido 45 :
nakubali🤣🤣🤣
2026-08-25 17:06:50
1
amani malog0 :
na shindwa kuelewa
2026-08-26 04:49:47
1
John Mtui🥰 :
huyo tayali 😳
2026-08-26 06:03:14
1
To see more videos from user @warning1225, please go to the Tikwm
homepage.