@shiloh.internatio44:

Shiloh international church
Shiloh international church
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 20:21:52 GMT
70739
3546
92
213

Music

Download

Comments

user2850635518256
user2850635518256 :
woooooh yawarudie mara mia nimetendea wengi wema nimeishiwa kulogwa na kusemwa vibaya
2026-08-24 15:07:45
17
rare1tu
ATININI :
bado endelea kukua na kusikiliza utafanya vizuri tafuta akina Ubert Angel watakusaidia
2026-08-24 05:04:41
6
agathamachiro
Sasamu Agatha :
Mtumishi natamani useme na mimi nipone yanayoniumiza moyo
2026-09-02 18:55:52
4
lizypaul30
Lizy Paul :
man of god 💪💪🔥🔥
2026-08-23 20:56:42
5
mariamshigemelo
mariamshigemelo :
next kanisa lipo wapi
2026-08-31 17:56:46
0
happy.lema
Happy Lema :
na iwe kwangu na familia yangu na uzao wangu katika jina la Yesu
2026-09-05 09:54:21
1
user1383615619971
Anna🪶 :
Babaubarikiwe siku nyingi nilikuona
2026-08-24 21:53:25
1
user79848068399110
Frolida :
Na iwe ivyo na kwangu pia.Nakataa Roho za visasi.
2026-08-26 16:56:55
2
best.mommy677
best mommy :
ubalikiwe mtumishi
2026-08-24 13:56:59
1
user3813195520117
Boniphace M. Mbunda :
Mungu fanya kitu kwangu na kwa watoto wangu
2026-08-24 11:29:52
5
user8135638627634
user8135638627634 :
mtumishi umeyagusa sana maisha yangu niliteswa na mzazi mwenzangu baada ya mtoto kupata kazii nikaonekana Mimi mchawi
2026-08-24 05:42:41
3
mukure367
MUKURE :
kanisa lipo wapi nimependa
2026-08-30 17:56:15
1
nataria59
user4600924961961 :
na mm nataka unabii
2026-08-24 14:46:02
3
user2859504666030
user2859504666030 :
Na iwe hivyo kwangu na famia yangu pia🙏
2026-09-04 17:58:04
1
fadhila.foka
fadhila foka :
mtumishi unapatikana wapi baba nimependa unabii
2026-08-27 02:36:54
2
aidrofinaisackaid
aidrofinaisackaid :
napokea upako huo.
2026-08-27 10:14:03
1
abbyaidan
Jenipher silem :
Napokea uponyaji wangu kwa damu ya Yesu
2026-08-25 12:06:13
2
user2850635518256
user2850635518256 :
Mungu atusaidie sana
2026-08-24 15:04:33
1
abia.soti
Abia Soti :
Napokea na mm unabii
2026-08-24 22:34:32
1
hurleem
hurleem :
napokea kwajina na yesu
2026-08-24 19:53:15
1
hellenjoseph08
hellenjoseph328 :
mungu nimwema Kila wakati
2026-08-25 13:44:08
1
user6226425576447
user6226425576447 :
baba na pokea na mm na jiunga manisha kwenye ibada baba nibarik mm na familiya yangu
2026-08-27 19:59:36
1
fridakwai321
Frida Kwai :
Nami napokea uponyaji wangu
2026-08-25 07:05:17
1
hellenjoseph08
hellenjoseph328 :
mungu naomba ulipe kisasi zidi ya maadui zangu Amina.
2026-08-25 13:48:03
1
jonasthomas846
jonas :
baba ubalikiwe
2026-08-24 07:05:55
1
To see more videos from user @shiloh.internatio44, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About