@mis..dimpoz: Nahis Hadi kulia aiseeeh 🤦🥹❤️.Hatimae mwanaume wang ametimiza ahadi Yake ya kunifanya kuwa mke wake 🥹💍❤️.. Ahsante Babaa angu umejua KUNIHESHIMISHA 🥹🙏 Nakupend sana sana na sana..Allah atakufanyia wepesi insha'Allah tumalizie finally pia namshukr Mungu hili nalo LIMEPITA SALAMA 🙏🥹❤️@It’s roy✨💙 @Ms~hawaah🏀 @mimah ❤️tiffah @gsam_outfit🌏 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #viral_video #fyppppppppppppppppppppppp

mis. Dimpoz 💞💋
mis. Dimpoz 💞💋
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 23 August 2026 20:26:37 GMT
164925
14331
256
220

Music

Download

Comments

hafsaally02
HafsaAlly :
MashaAllah nmependa henna umechora and wap
2026-08-25 16:10:35
0
bakhiakish3
CeeCee😍🥰_dollar💸💸💸💸 :
jameniii kila nikiscroll naona Tu weddings and engagement
2026-08-25 15:04:52
2
shaymaa.mima
Shaymaa mima :
Mahar za skuiz Zina hekaheka
2026-08-24 03:25:00
206
miss.veemone
@@ness vizzy :
🥰🥰karibu kweye family yetu wifi yangu
2026-08-23 21:14:21
103
glory.oscar8
Glory Oscar :
Hongera san
2026-08-25 14:04:27
1
mariamumolely34
🦋🥰 Afficial mamuu🥰🦋 :
Unafurahia ndoa 😁😁😁pole🥺
2026-08-24 11:46:45
19
prettyhuu2
💖husna@💕 :
hongera mwaya 🥰
2026-08-26 08:14:28
0
fetty5133
fetty💕 :
ficha uchumba tangaza ndoa
2026-08-25 08:26:23
12
mrsabdullazack
Mrs abdullazack OG💍💕 :
Hatimae dua yang kwako kipenz allah ameiskia karb momy kwenychama la wanandoa ww ndy mkehalali sasa
2026-08-24 11:18:38
5
sabinalikami
🦋Sabby❤️✌️ :
hongera mwaya
2026-08-25 07:21:30
0
minahmbonde709
minah mbonde :
namm nitapata wangu aliebora inshallah
2026-08-24 11:09:11
24
__corazone1
^~ČÖRÄŹÖÑÈ~^🧸💜 :
Hongera mamaa nafurah mpk nahc machoz mm😭😭❤️
2026-08-24 08:32:53
8
gsam_outfit
gsam_outfit🌏 :
Ongera shemeji yangu ✅❤️‍🔥
2026-08-23 20:29:41
6
jasmin58055
smie💞 :
ninavokenua ss kama mimi jmn😅😅
2026-08-24 06:20:59
5
toorop55
Toorop :
2026-08-24 07:21:55
8
chimamywaraiy
Ms~hawaah🏀 :
Sehem ya voice akun mama Angu nikaelezea furah yang😭🥹🤦❤️
2026-08-23 20:28:33
39
bakhaisamu
DEEKHAM TZ :
vitu vyangu☺️😊😊😊😊
2026-08-23 21:40:07
5
latifaramadhan296
It's Tiffah jax😘 :
Hongera kipnz nawapenda sana mkawe ni weny furaha ktk ndoa yenu 🌹🌹🥰 na mm Allah anijalie nipate mume Bora 🙏
2026-08-24 04:37:14
23
luck_kipaji
Luck kipaji🎙 :
Much congrats 👏
2026-08-25 22:28:43
1
halimamuhamed109
Halima Cute🥰❣️💪💪💪 :
One day Inshaalw😂🤣😅
2026-08-24 17:38:46
2
user6912555281183
sabra cute :
mshaallah mungu awape maisha marefu
2026-08-25 11:07:43
2
asiaamiri8
asiaamiri819 :
na harusi uposti basi
2026-08-24 14:45:59
2
fattahspeaks
Abdul Fattah Fataki :
MashaAllah Alif Mabrouk 🥰
2026-08-25 11:17:14
2
pilly.totoz123
Pilly Totoz :
izi video🤪🤪zitaniuwa wallh🤲🤲 jmn inishallh ipo sk na mimi 🙏🙏🙏🤲🤲💯💯💯
2026-08-24 16:45:43
2
prettymolla
🦋She is mzuriiii🦋 :
Hongera mwaya
2026-08-24 16:04:59
1
To see more videos from user @mis..dimpoz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About