we mpende sana mama ake ...mama ndo ataamua dogo akujue au asikujue✌✌
2026-08-24 02:47:15
637
Claude Mentor :
Hiyo simu isiwe kichwani boss ni mbaya
2026-08-24 09:11:32
149
love🥰 :
kaka umwambie ma mtot asiweke sim kichwan please 🥰
2026-08-24 08:42:28
81
Nolly 💕🫧 :
Kuna mtu amesema we mpende tu mama ake yeye ataamua mwanae akujue au asikujue, yupo sahihi sana
2026-08-26 20:13:54
43
day dreamer✨❤️ :
hiv inakuaje mtu unaolewa na kua na familia Mimi nitaolewa lini 🤦🏻
2026-08-24 14:47:23
55
Jexy_bae🏵 :
Jamn waowaji hamnioni au😳
2026-08-24 09:25:31
24
sumbwiii :
Kuoa raha sana watu hawajui tu
2026-08-24 17:59:30
26
Dee light :
Me ningetoroka lunch time nimbebe ata dakika 2
2026-08-25 22:13:33
7
Mrpromise :
daah! wang amewai kunijua jmn kwanz halal mpka nirud alaf yupo na six months god is good🙏😊
2026-08-25 07:20:18
15
chabay :
rudi mapema
2026-08-31 04:08:02
0
𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮𝐫𝐞🥷 :
Bora wewe, wengine tangu mtoto aziliwe wameonana mara 3 tu na ni mwaka sasa😅
2026-08-24 11:20:58
15
It’s mary🦋🍒 :
kwahy wakaka wote comments section mmeoa maana kila mtu anasema wangu wangu kaaah🤣🤣🤣
2026-08-25 10:34:06
9
Sarah Nsenye :
😂😂😂 lazma uitwe kaka apo
2026-08-29 07:44:55
0
beauty yushal :
Kila mtu kasema lake kuhusu mwanae cjui familia..ila mm sijui niseme nn maana najihisi km nipo pekyangu kwenye Dunia toufauti🥺ila inshaallah nitavuka na hili Mungu nipe subrah 🤲
2026-08-26 01:40:09
7
✨SCARFACE👑 KING💫🌟 :
sio dogo tuu hakikisha kama niwako na yeye maana majirani wanaongoza kututunzia familia zetu tunapo toka kwenda kutafuta mzeeh yalisha nikuta Mimi nililea mtoto wa jiran yangu 🥹🥹
2026-08-24 19:10:00
5
ashura wa pakei :
ila haya maisha yana raha sana
2026-08-25 19:35:55
0
@Eric :
hongera sana mwangu, zawadi kubwa sana ulijitengenezea kimaisha. sema nini janja ipende sana familia yako.
2026-08-25 17:41:33
6
Bayser :
Mionzi ya simu nihatari kwa afya ya mtoto isiwe inakaa karubu nae
2026-08-24 09:38:27
6
Andrew Bracken (Proudly Deaf) :
Simu haitakiwi kaa karibu sana na mtoto tokana na mionzi ya simu
2026-08-25 17:42:13
2
tony_snix967 :
😂😂😂
2026-08-24 15:26:11
1
B.BOY :
Kaka chakufanya zidisha sana upendo kwa mama yake mana mama ndo aliye beba atima yako eidha ujulikane au usijulikane
2026-08-25 18:13:44
4
mima🌹 :
jmn munioe sasa jmn na mm niwe na family, mm nitavumilia changamoto serious nimechoka kukaa nyumban
2026-08-24 20:35:17
2
NkuziG :
ipo siku na mm
2026-08-25 12:38:05
0
erasmimassawe111 :
mjomba hoyeeeee🤣🤣
2026-08-25 06:46:37
0
Ngoshamusic1 :
nani anatafta mume 😂
2026-08-25 21:00:04
0
To see more videos from user @scortplaza5, please go to the Tikwm
homepage.