@hearing.gods.voice: “Daudi akatamani, akasema, Laiti mtu angeninywesha maji ya kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango! Basi hao mashujaa watatu wakapenya jeshi la Wafilisti, wakateka maji kutoka kile kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango, wakayachukua, wakamletea Daudi; walakini yeye hakukubali kuyanywa, akayamimina mbele za BWANA. Akasema, Hasha, BWANA, nisifanye hivi; je! Si damu hii ya watu hao waliohatirisha nafsi zao? Kwa hiyo hakukubali kuyanywa. Hayo ndiyo waliyoyafanya wale mashujaa watatu.” ‭‭2 Sam‬ ‭23‬:‭15‬-‭17‬ ‭SUV‬‬ Huwezi kutenganisha kazi na damu wala pesa na damu, hivyo haki yako yoyote ile ambayo ulidhulumiwa mkono wa adui unalazimishwa kuachia na ikufikie mkononi mwako katika jina la Yesu.#pastortonykapola #pastorroseshaboka #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #mwamposa

Apostle Francis Eliada
Apostle Francis Eliada
Open In TikTok:
Region: DE
Monday 24 August 2026 05:45:00 GMT
13649
1370
14
55

Music

Download

Comments

lindahbahati1
Freedom :
Ninajifunza mengi kutoka kwako
2026-08-24 07:09:20
14
emmie5917
Emmie🌸 :
2026-08-24 13:56:41
3
jhoyas63
jhoyas :
unanifundisha mengi sana pastor🙏
2026-08-24 16:53:37
4
sheila.jonson
Sheila Jonson :
ameen
2026-08-24 16:37:38
3
jescazurnlj
jesca :
Ameeeen🙏
2026-08-24 17:29:24
1
saudatymussa
Prettydatty🥰🦋 :
Amen
2026-08-25 06:26:58
0
giftwillson82
Bossbaby 🌺 :
Ameen unanifunza mengi
2026-08-24 09:19:37
1
smasher581
smasher smiles 😃 :
Amen
2026-08-25 03:18:28
0
user2915249408046
pendo mbasweke :
amen
2026-08-24 08:11:19
2
kz10tiktok.comkz
KZ @10 :
🍐
2026-08-24 15:46:12
2
vicytesha
vicky collection👖👜👗👡 :
🙏🙏
2026-08-24 18:03:14
0
user5671779244558
03/30 enjoy💁🌹 :
🙏🙏
2026-08-24 09:18:07
2
conny_fx
CONNY FX :
🔥🔥🔥
2026-08-24 20:30:30
0
To see more videos from user @hearing.gods.voice, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About