Mbona kila penzi likionekana kwenye simu yangu huwa halifik mbali😂
2026-08-24 05:38:56
35
win :
sisi wanawake huwa tunafek sana maisha sehem unayopendwa wewe ndio unafanya matupwi unaenda sehem usiopendwa pole kaka kiredio yote maisha yataisha kwa uwezo wake allaah
2026-08-24 02:51:17
58
semwiwa :
kila PENZI litaonja umauti🤣🤣
2026-08-24 05:08:48
36
GRADINE TOTO 🌎 :
Motema na ngai naumia😭
2026-08-24 02:27:45
16
mayna🧞🧞🇹🇿 :
🙂↕️🙂↕️🙂↕️🥲🥲🥲🥲dah
2026-08-24 09:21:48
0
Baba ivany :
shida mazoea , pole kaka
2026-08-24 09:13:33
2
Happy muyinga 982 :
ivi mnapataga wapi nguvu yakulilia mapenzi namaisha yalivyo magum hivi
2026-08-24 17:12:42
1
nurulove7 :
kinacho umizaga ni mazoea Wala SI upendo tu Kwa sababu utampata tu mwingine ila mazoea ndo shida
2026-08-24 08:25:23
2
cheed seiph :
Hii nyimbo inaitwaje
2026-08-24 04:39:17
0
mom jazlynn :
jina la nyimbo jmn
2026-08-24 13:07:39
1
Mack simbeye :
naomba jina la nyimbo please 🙏
2026-08-24 04:24:06
2
og :
mapenz kama hatu yawenz tuvuten bag ty jmn
2026-08-24 19:27:46
1
Eliza Lumambo :
kila penzi litaonja umauti🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-24 16:20:19
4
flower 🎀🌺 :
vee anazambi alipelekwa mpka njee ya nchi lkn bado kaamua kumuacha kiredio duuuh😔😔😔
2026-08-24 18:58:06
1
ma, Queen :
mbona mm niliachwa halafu hamkujua😆😆😆😆😆😆
2026-08-24 17:02:05
0
Abisani Abisani :
inauma jamani watu wanaopenda kweli hawapati wapendwa wa kweli jamani ivi ni kwanini lakini Mungu angali maumivu ya ndani ni makali Sana❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
2026-08-24 08:13:09
5
🦋🦋janeth1 :
iv unajua mim sielew nikwel wameachan au ndy kujiamulia mamb wabong
2026-08-24 09:24:39
2
curine0605 :
Ko hakuna anaejua jina ya wimbo🥺
2026-08-24 16:25:32
0
mom jazlynn :
JINA LA NYIMBO JAMN
2026-08-24 08:59:44
1
Rockseller ♓️🫧 :
🥹🥹🥹
2026-08-23 23:43:47
2
Daines :
kila penz litaonja umauti 🤣🤣🤣 na Mimi niliachwa
2026-08-24 09:01:39
1
Salimushabani :
niko bize na kawimbo kazuri ukiachwa
2026-08-24 06:53:43
1
dainercute♥️ :
pole mwaya kiredio me mwaya nakupenda Sana njoo tulianzishe kipenz nikupooze motema 😭❤️maana woteni wale wale tu nikisikiliza hii nyimbo😭😭😭
2026-08-24 05:56:53
1
njiku :
nasikiaga mapenzi ivi ni Nini ett
2026-08-25 01:51:08
0
To see more videos from user @official_idrissy, please go to the Tikwm
homepage.