@masjidmtoro2: 🌙🕌 MTORO DAY | MAULID ﷺ Sheikh Awadh, Mlezi wa Msikiti wa Mtoro, akiwa katika furaha na bashasha katika Maulid ya Mtume Muhammad ﷺ. 🤍✨ 🤲🏽 Allah amzidishie afya, umri wenye baraka na nguvu za kuendelea kuitumikia dini na jamii. Aamiin. #MtoroDay #Maulid #SheikhAwadh #MsikitiWaMtoro

masjidmtoro
masjidmtoro
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 02:02:03 GMT
5570
332
9
4

Music

Download

Comments

official_ilu1
🦋 𝑰𝒍𝒉𝒂𝒎 𝑵𝒖𝒉𝒖 🦋 :
mashaallh nimemuona baba angu jmn
2026-08-24 08:10:06
1
fatma.jumasalm
fatma juma,salm :
mashallah Hadi mwili umesisimka
2026-08-24 05:40:42
1
bibi.saida
Bibi Saida :
mashaallah
2026-08-24 04:35:14
1
haji._makuku
HAJI _MAKUKU 🇹🇿 :
swallallahu alayh wasallamu🙏🙏🙏
2026-08-24 04:17:10
2
user9133414463060
Omary madaw :
et hapo ndo kumswalia mtume s w a subhanallah
2026-08-24 10:17:42
0
nasma.juma8
Nadya🥰🥰 :
mashaallah
2026-08-24 04:16:55
0
mariammariam6138
@𝚖𝚊𝚛𝚒𝚊𝚖 🥰🥰 :
𝚓𝚊𝚖𝚗 𝚖𝚌𝚑𝚎𝚗𝚒 𝙰𝚕𝚕𝚊𝚑 𝚊𝚌𝚑𝚎𝚗𝚒 𝚞𝚋𝚊𝚋𝚊 𝚒𝚏𝚞
2026-08-24 04:49:30
1
kaniki_machinery_store
Kaniki machinery store :
Mcheni Allah juu ya hicho mnachokifanya
2026-08-24 07:15:37
0
To see more videos from user @masjidmtoro2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About